Twaha Kiduku(Tz) amkalisha Sirimongkhon(Thailand)

Mie nacheka tu hizo comments zenu wadau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kereka kwenye ndondi kama leo,pambano limenunuliwa
Hapana halijanunuliwa mkuu,Kiduku ametumia ile njia ya VPN ya kwny ndondi maana sasa hapa bongo tumeshafundishwa kila tatizo/changamoto ina VPN yake ya kulitatua.
 
Mapambano ya ngumi kibongo ndio hivyo.ameletwa tu kumwongezea pont kiduku. Ndio biashara ya ngumi ilivyo.Bondia mwenyewe ana miaka 43anapigana na bondia wa miaka 28
Ungesema mapema mkuu maana unasema baada ya mtu kukubali yaishe
 
Mapambano ya ngumi kibongo ndio hivyo.ameletwa tu kumwongezea pont kiduku. Ndio biashara ya ngumi ilivyo.Bondia mwenyewe ana miaka 43anapigana na bondia wa miaka 28
Kwahiyo siyo pambano la kugombea mkanda
 
Huyu Mthailand anatambulika na WBA,WBC ?
 
Ila huu mpambano naona kama kuna kausanii flani hivii.

Jamaaa anamaliza mpambano kama refa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahahaha mi ningedai nusu ya kiingilio asee haiwezekani mtu ana 43 Years apambane na 28 Years ni vitu viwili tofauti.
 
Francis miyeyusho kafikia stage ya kupigana utangulizo. It pain[emoji24][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Yule ni Mthailand ni fake wa yule tulietangaziwa, halafu pia ni aibu kwa chombo cha hadhi ya Azam Media kukosa Mkalimani wa huyo Mthailand fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…