Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 392
- 272
TWAHA MWAIPAYA ACHA NIKUSAIDIE KIDOGO.
Na.
Peter Dafi.
Bukene, Nzega, Tabora.
Ulipokuwa Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora Ulisema Pesa za Kufa na Kuzikana za Jeshi la Polisi Zimeliwa na CCM.
Huo ni Uwongo na Acha Nikujuze kuwa Hakuna Mkono wa CCM au Mwana CCM umeshika Pesa za Jeshi la Police.
Ikumbukwe kwamba, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Samia S Hassan na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani. Mnamo Agosti 30, 2022 aliwaambia maofisa wakuu wa Polisi kwamba! Yapo matumizi mabaya ya fedha za mfuko wa kufa na kuzikana wa Jeshi la Polisi na kwamba, fedha hizo askari anapofiwa hapewi licha ya michango kukusanywa kwa lengo la kusaidia Misiba inapotokea.
Na Siku hiyo hiyo alimwagiza CAG Kichere kuchunguza suala hilo na taarifa nyingine za ubadhirifu wa Fedha ndani ya jeshi hilo, ikiwamo matumizi mabaya ya mafuta katika magari binafsi ya maofisa.
~Swali! Je! Hapo CCM imeiba au Imeokoa Pesa? Na kuitaka Serikali Iwajibike Kulinda Fedha za Jeshi la
polisi.~
March 2023 CAG Charles Kichere akiwasilisha Taarifa yake, alieleza kuwa katika ukaguzi maalumu katika mfuko huo alibaini upotevu wa Sh4.8 bilioni ambazo zilitumika, lakini hazikuwa zimewafikia walengwa.
_"Kuna upotevu wa fedha kiasi cha Sh4.8 bilioni ambapo Sh2.4 zilitumika katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na makao makuu na Sh2.4 bilioni zilitumika pia Zanzibar bila kuwafikia walengwa," _
alisema CAG Kichere katika taarifa hiyo.
”Tumefanya ukaguzi tumekuta hizo fedha zimetumika lakini hazijawafikia walengwa Na baadhi ya wahusika walikuwa hawapo na wengine tayari wametoroka,"
CAG alimweleza Rais na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye aliyeagiza kufanyika uchunguzi huo.
”Nashauri Jeshi la Polisi kuwatafuta wahusika ili waje kujibu hizo tuhuma za ubadhirifu wa fedha hizi ambazo ni maalumu kwa ajili ya askari wakipata shida wanapewa,"
alisisitiza CAG Kichere.
Na Katika hilo, Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM aliagiza wahusika wote watafutwe kwa hatua zaidi za Kisheria pamoja na kurejeshwa kwa fedha hizo.
Sasa Wewe Dogo Mwaipaya naona Unaongea Usichokijua ili Kufurahisha Genge la wahuni wenzio wachache.
Kwa kawaida huwezi husisha Ubadhilifu wa Jeshi la Polisi na CCM kwani Hakuna Mahala wanaingiliana hata kwa Nyaraka Moja za Kifedha. Ni Mtu Mpumbavu tu ndio anaweza kusadiki Kauli na Maneno hayo uloyasema Igunga.
Lakini Mwenyekiti wa CCM Ndie aliekuja na Hoja na Kuliweka Wazi hadharani Jambo Hilo na Kisha Kuagiza Uchunguzi wa CAG ufanyike ili Kubaini Uchafu huo.
Hivyo Basi, Hii Hoja Msiidandie kwa Juu Sio Yenu ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Kuhakikisha Inalinda na Kutunza Mali na Rasilimali za Watanzania. Lakini pia Kutokomeza Ubadhilifu, Wizi, Rushwa nk… katika Taasisi na Serikali Nzima.
Nyie CHADEMA Bado Mna Safari Ndefu sana ya Kuishinda CCM kwa Akili hizi za kina Mwaipa na Aina ya Uwongozi wa Sasa wa Kupayuka payuka tu.
🙏🏿
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Tukutane kwenye Uchaguzi Mkuu 2025
View: https://youtu.be/ZVAcEgMN1eo?si=pD4rNPlWsI_jAZlj
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿