Twaha Mwaipaya: Haya sio mabanda ya kuku. Ni nyumba za Jeshi La Polisi Central Dodoma

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.

Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.

Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.

Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.

172054.jpg
172053.jpg
172052.jpg
 
Izo nyumba kwa biashara yangu ya mikate na maandazi zingefaa sana
 
Bro nimeishi kwenye hizo nyumba ZILIZOPO nyuma ya hospitali ya mkoa Dodoma mjini KABISA karibu na soko la majengo daah, geto nililo kuwa napoa kwenye hizo nyumba za mapai nilihamia uzunguni baada ya mwezi mmoja mvua imepiga ikadondoka wallah hiyo memory Hadi Leo najiuliza vipi ningebakimo sababu haikuwa hata na ufa japo ni za tope old model
 
Zinaitwa 'unipots' maarufu sana kwa Shirika la Reli pamoja na majeshi.

Nyumba hizi hutumiwa kwa matumizi ya dharula, maani ni za muda.

Ujenzi wake ni wa kufunga skurubu zenye nati ni sawa na hema.

Kuendelea kumuweka mtumishi katika mazingira ya kidharula katika maisha ya kawaida ni matusi kwa Serikali yenyewe
inayowawajibikia chakula pamoja na makazi.

Kutuhusisha sisi raia, sijui tuwachangie kuwajengea ni kututusi, maana havituhusu.
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.

Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.

Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.

Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.

View attachment 3509356View attachment 3509357View attachment 3509358
Central hapo Dodoma wanakaa FFU
Hii sehemu nimefika mara 4 daaa ndugu zetu polisi wanaishi sehemu yenye dhiki na shida acha tu watuue wana stress nyingi
 
Bro nimeishi kwenye hizo nyumba ZILIZOPO nyuma ya hospitali ya mkoa Dodoma mjini KABISA karibu na soko la majengo daah, geto nililo kuwa napoa kwenye hizo nyumba za mapai nilihamia uzunguni baada ya mwezi mmoja mvua imepiga ikadondoka wallah hiyo memory Hadi Leo najiuliza vipi ningebakimo sababu haikuwa hata na ufa japo ni za tope old model
Hizo ni hatari
Mvua ikinyesha ndo unaona adha yake, wakati wa joto utakimbia
 
Wamenunuliwa Toyota pickups mpya na magari mengine lukuki ya gharama kwa ajili tu ya kudhibiti maandamano! Mabosi wao nao wamenunuliwa V8 za kutosha mpya nchi nzima kwa ajili tu ya kupigia misele! Wenzangu na mimi na mishahara yao ya laki tatu na nusu wanalazwa kwenye mabanda ya bati! Ukijumlisha na lile joto la Dodoma! Lazima uonekane tu ni kichaa.
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.

Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.

Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.

Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.

View attachment 3509356View attachment 3509357View attachment 3509358
Papala yote ile yakutu ua kumbe yanaishe kerne ya mbilikimo?? Shame on you.
 
Hiyo picha ujapata angle nzuri, next week ntakupandishia picha halisi, na ukiwakuta jioni na asubuhi wakiwa wanatoka huko na sare zao na vipikipiki used wamebebana watatu wanaenda kazini inasikitisha,
Kinachosikitisha zaidi wengi ni vijana wadogo ila ndio hivo akili walichomolewa kule CCP
 
ndio maana wana hasira sana na raia wanaoishi vizuri zaid yao
 
Hiyo picha ujapata angle nzuri, next week ntakupandishia picha halisi, na ukiwakuta jioni na asubuhi wakiwa wanatoka huko na sare zao na vipikipiki used wamebebana watatu wanaenda kazini inasikitisha,
Kinachosikitisha zaidi wengi ni vijana wadogo ila ndio hivo akili walichomolewa kule CCP
wananuka umaskini nimeishi nao sn halafu wote maisha yao wanafanana kila kitu.
 
Back
Top Bottom