Twaha Mwaipaya: Haya sio mabanda ya kuku. Ni nyumba za Jeshi La Polisi Central Dodoma

Sijui wanajisikiaje wakiona hivi wanavyosemwa kuhusu uduni wa makazi?
 
Nguruwe mwenye mimba hawezi kuishi kwenye hizo nyumba.
Hivi banda kama hilo mtu atakosa chawa, atakosa kunguni, akimla mkewe watoto na majirani watakosa kusikia?

Hivi hizo nyumba zina vyoo na bafu ndani? Asking for a friend.
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.

Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.

Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.

Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.

View attachment 3509356View attachment 3509357View attachment 3509358

..halafu waziri mambo ya ndani anatembelea ndinga ya millioni 500.
 
Hata hizo awastaili watakiwa kulala nje zipigwe moto 9d
 
Hizo rushwa zote wanashindwaje kujenga?
 
Acha wateseke, si wao ndio wanawatetea hawa
IMG_2351.jpeg
 
Wewe unaishi kwenye nyumba aliyokupangia Maria Sarungi Kenya lakini bado unaponda nyumba za watu, sjui nyie wafuasi wa chadema mtaacha lini upumbavu.
Halafu mwanaume kulelewa na mwanamke ni aibu
 
Waendelee kuishi humohumo si ndio maisha waliyoyachagua
 
Back
Top Bottom