Unaringa sana wewe jamaa
Zinaitwa 'unipots' maarufu sana kwa Shirika la Reli pamoja na majeshi.
Central hapo Dodoma wanakaa FFUAnaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.
Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.
Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.
Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.
View attachment 3509356View attachment 3509357View attachment 3509358
Hizo ni hatariBro nimeishi kwenye hizo nyumba ZILIZOPO nyuma ya hospitali ya mkoa Dodoma mjini KABISA karibu na soko la majengo daah, geto nililo kuwa napoa kwenye hizo nyumba za mapai nilihamia uzunguni baada ya mwezi mmoja mvua imepiga ikadondoka wallah hiyo memory Hadi Leo najiuliza vipi ningebakimo sababu haikuwa hata na ufa japo ni za tope old model
Papala yote ile yakutu ua kumbe yanaishe kerne ya mbilikimo?? Shame on you.Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.
Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.
Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.
Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.
View attachment 3509356View attachment 3509357View attachment 3509358
ndio maana wana hasira sana na raia wanaoishi vizuri zaid yaoAnaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie mnalala hapa mnaenda kumlinda Samia na familia yake kwa kuua watanzania wenzenu.
Nyie na sisi wote ni maskini watoto wenu na wetu wote wanasoma santi kayumba, nyie na sisi wote tunakopa VICOBA na Kausha damu.
Mkituona barabarani tuacheni mjue tunataka muishi maisha mazuri nyie na familia zenu, tunataka mishahara yenu ipandishwe Mara dufu muishi kwa raha kwani nyie mnatulinda sisi kwa mujibu wa katiba, acheni kutuua na kututeka.
Nakushukuru sana Polisi ulienitumia picha hii bila shaka umechoka maisha haya Mungu akulinde.
View attachment 3509356View attachment 3509357View attachment 3509358
wananuka umaskini nimeishi nao sn halafu wote maisha yao wanafanana kila kitu.Hiyo picha ujapata angle nzuri, next week ntakupandishia picha halisi, na ukiwakuta jioni na asubuhi wakiwa wanatoka huko na sare zao na vipikipiki used wamebebana watatu wanaenda kazini inasikitisha,
Kinachosikitisha zaidi wengi ni vijana wadogo ila ndio hivo akili walichomolewa kule CCP