Twaha Mwaipaya: Haya sio mabanda ya kuku. Ni nyumba za Jeshi La Polisi Central Dodoma

Sijui wanajisikiaje wakiona hivi wanavyosemwa kuhusu uduni wa makazi?
 
Nguruwe mwenye mimba hawezi kuishi kwenye hizo nyumba.
Hivi banda kama hilo mtu atakosa chawa, atakosa kunguni, akimla mkewe watoto na majirani watakosa kusikia?

Hivi hizo nyumba zina vyoo na bafu ndani? Asking for a friend.
 

..halafu waziri mambo ya ndani anatembelea ndinga ya millioni 500.
 
Hata hizo awastaili watakiwa kulala nje zipigwe moto 9d
 
Hizo rushwa zote wanashindwaje kujenga?
 
Acha wateseke, si wao ndio wanawatetea hawa
 
Wewe unaishi kwenye nyumba aliyokupangia Maria Sarungi Kenya lakini bado unaponda nyumba za watu, sjui nyie wafuasi wa chadema mtaacha lini upumbavu.
Halafu mwanaume kulelewa na mwanamke ni aibu
 
Waendelee kuishi humohumo si ndio maisha waliyoyachagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…