Wewe huwezi kuona uovu wa Magufuli na dhahama aliyotuachia subiri utekwe au ndugu yako atekwe kama utaandika huu utumbo hapa..uakuja hapa na kuwaomba wanajf wapase sauti. Sisi tutakaa kimya maana wakati tunapinga huu uovu. huelewiHuna akili.
Awamu ya sita imeamua kuipiku awamu ya tano katika nyanja ya utekaji, utesaji na mauaji ya wakosoaji wa serikali,kauli ya Samia kuwa utekaji ni drama tu inaeleza dhahiri kuwa amebariki vitendo hivi.Mwasisi wa haya mambo ya kufuatiliana kwa nyuma kisha kuteka na kupoteza ni Magufuli wa chato sijui kwanini samia haya mambo hayakemei. Kwa sababu hawa wasiojulikana ni kitengo ndani ya mamlaka ya juu ya serikali
Mtanikumbuka 😂Awamu ya sita imeamua kuipiku awamu ya tano katika nyanja ya utekaji, utesaji na mauaji ya wakosoaji wa serikali,kauli ya Samia kuwa utekaji ni drama tu inaeleza dhahiri kuwa amebariki vitendo hivi.
Huwezi kutaja jina la Ben Saanane bila kumkumbuka dhalim Magufuli, na pia tutamkumbuka huyu wa sasa kwa ishu ya Soka na wenzake, kila ubaya utalipwaMtanikumbuka 😂
Kwa yeyote anayefikiri utekaji umeanza kipindi cha Magufuli...Wewe huwezi kuona uovu wa Magufuli na dhahama aliyotuachia subiri utekwe au ndugu yako atekwe kama utaandika huu utumbo hapa..uakuja hapa na kuwaomba wanajf wapase sauti. Sisi tutakaa kimya maana wakati tunapinga huu uovu. huelewi
Tutamkumbuka kwa kuasisi utekajiMtanikumbuka 😂
Jinga kabisa hiliTutamkubuka kwa kuasisi utekaji
Siku akitekwa mamaako Mzazi ndio utaelewa haya mamboMwanasiasa anaweza kutengeneza TAHARUKI ukajaa hasira kifuani....
Hizo ndizo siasa za baadhi ya wanasiasa....
Imenikumbusha komredi Ali Bananga Mwatiga....kipindi yuko CDM alikuwa na uwezo wa KUANDIKA POST ama kusema neno kali likausisimua mwili na kuweza hata kutafuta mawe ukaenda nayo maandamanoni......
Inasikitisha na inaogopesha unajiuliza kama wanakubalika sana na wanafanya makubwa why kukosolewa kuwe kosa kubwa na kama hawa watu wanatenda makosa siwakamatwe nakushitakiwa kwa haki?Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Huu ujinga wakulia lia kwenye mitandao kama watu wasio na mikono ni ujinga mkubwa.Kufa kupo tu ila kufa kiboya huo ni ujinga mkubwa sana.Hayo mambo yanaendelea kwasababu tumeendekeza unyonge wakijinga.badala yakuchukua hatua tunalilia mitandaoni nakumuachia Mungu.Hao wanaoteka watu ni wahalifu kama wahalifu wengine dawa nikudili nao kwajinsi watakavyokuja.Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Nahisi nchi iko mikononi mwa wavuta bangi, mtu mwenye akili timamu hawezi kuendekeza vitendo vya kishetani kama hiviKama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Hatari sana!Nahisi nchi iko mikononi mwa wavuta bangi, mtu mwenye akili timamu hawezi kuendekeza kitendo vya kishetani kama hivi
Kwa sasa inachotakiwa ni wakija hao wajinga ni kujitetea kama alivyofanya zacharia wa tarime .Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Hata kama ndiyo hayupo ila yeye ndiye aliye ionesha tanzania kwamba kumbe inawezekana kumteka mtu na kumuua na asijulikane alipo milele.Magufuli hayupo acha kumuonea.
Hizo Bange ndo zinawafanya mkae bila kupata suluhisho!!
Je jamii iliyo nyamazishwa, ama itakayo nyamazishwa itanyamaza hadi lini, what will be the Future of silent society and how long will the silent society keep quiet , binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, akili zake zinakuwa na akili sana akipata changamoto, uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge binadamu hujisabanishia Changamoto kwasababu ya uvivu, ujinga na uzembe lakini mtu mwingine anaweza kusababisha changamoto kwa makusudi ama bila kujuaKama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?