Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Mwasisi wa haya mambo ya kufuatiliana kwa nyuma kisha kuteka na kupoteza ni Magufuli wa chato sijui kwanini samia haya mambo hayakemei. Kwa sababu hawa wasiojulikana ni kitengo ndani ya mamlaka ya juu ya serikali
Awamu ya sita imeamua kuipiku awamu ya tano katika nyanja ya utekaji, utesaji na mauaji ya wakosoaji wa serikali,kauli ya Samia kuwa utekaji ni drama tu inaeleza dhahiri kuwa amebariki vitendo hivi.
 
Wewe huwezi kuona uovu wa Magufuli na dhahama aliyotuachia subiri utekwe au ndugu yako atekwe kama utaandika huu utumbo hapa..uakuja hapa na kuwaomba wanajf wapase sauti. Sisi tutakaa kimya maana wakati tunapinga huu uovu. huelewi
Kwa yeyote anayefikiri utekaji umeanza kipindi cha Magufuli...

Ni eiza amezaliwa 2015 ama hana akili...

Kwahiyo kwa upumbafu wako unaamini Samia hawezi kufanya uovu?
 
Mwanasiasa anaweza kutengeneza TAHARUKI ukajaa hasira kifuani....

Hizo ndizo siasa za baadhi ya wanasiasa....

Usiwaamini [emoji817]% kwa kila ASEMALO haswa pale "anapolalamika"....

Imenikumbusha komredi Ali Bananga Mwatiga....kipindi yuko CDM alikuwa na uwezo wa KUANDIKA POST ama kusema neno kali likausisimua mwili na kuweza hata kutafuta mawe ukaenda nayo maandamanoni......

#Tafakari
 
Mwanasiasa anaweza kutengeneza TAHARUKI ukajaa hasira kifuani....

Hizo ndizo siasa za baadhi ya wanasiasa....

Imenikumbusha komredi Ali Bananga Mwatiga....kipindi yuko CDM alikuwa na uwezo wa KUANDIKA POST ama kusema neno kali likausisimua mwili na kuweza hata kutafuta mawe ukaenda nayo maandamanoni......
Siku akitekwa mamaako Mzazi ndio utaelewa haya mambo
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Inasikitisha na inaogopesha unajiuliza kama wanakubalika sana na wanafanya makubwa why kukosolewa kuwe kosa kubwa na kama hawa watu wanatenda makosa siwakamatwe nakushitakiwa kwa haki?
 
Tulieni hivyo hivyo...

Wakati wenzenu wanaumia, nyinyi mlikuwa mnabana pua "mama anaupiga mwingi"

Sukuma gang sukuma gang ya nyoko...

Tulieni kipindi hiki hakuna watekaji, huenda wanataka wakuchukue ukanywe nao chai...
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Huu ujinga wakulia lia kwenye mitandao kama watu wasio na mikono ni ujinga mkubwa.Kufa kupo tu ila kufa kiboya huo ni ujinga mkubwa sana.Hayo mambo yanaendelea kwasababu tumeendekeza unyonge wakijinga.badala yakuchukua hatua tunalilia mitandaoni nakumuachia Mungu.Hao wanaoteka watu ni wahalifu kama wahalifu wengine dawa nikudili nao kwajinsi watakavyokuja.
 
Hapa I have only two things to say:
Kama mtu anatukana watu,anaikashifu watu,aache.
Kama Polisi wanamuonea mtu yoyote,waache.
Polisi waelewe kwamba haiwezekani umdhuru mtu ambaye amekuja nyumbani kwako kuiba hela alizokuwa anakudai.
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Nahisi nchi iko mikononi mwa wavuta bangi, mtu mwenye akili timamu hawezi kuendekeza vitendo vya kishetani kama hivi
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Kwa sasa inachotakiwa ni wakija hao wajinga ni kujitetea kama alivyofanya zacharia wa tarime .
Tuwe tunatembea kwa kujihami kama hauna bastola usikose beto
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Je jamii iliyo nyamazishwa, ama itakayo nyamazishwa itanyamaza hadi lini, what will be the Future of silent society and how long will the silent society keep quiet , binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, akili zake zinakuwa na akili sana akipata changamoto, uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge binadamu hujisabanishia Changamoto kwasababu ya uvivu, ujinga na uzembe lakini mtu mwingine anaweza kusababisha changamoto kwa makusudi ama bila kujua
 
Back
Top Bottom