Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Je Tutanyamazishwa hadi lini?
 
Hizi ndio kauli muhimu Kwa Sasa.

Bahati nzuri Mahakama na Spika wa Bunge wamethibitisha kuwa watekaji siyo Vyombo vya Usalama. Kwa lugha NYINGINE watekaji ni Magaidi au maharamia au majambazi!!

Tuvisaidie Vyombo!! Ukiitwa nje usitoke kizembe
wapi wamethibitisha? lakini Bashe alishasema tena Bungeni wakati ule, kwamba kuna kundi ndani ya usalama wa taifa wanafanya utekaji...! na ndivyo ilivyo hata sasa, wanawatanguliza polisi lakini mastermind wa huu mchezo ni wao!
 
Hakuna kitu kama hicho...!
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama

Juzi tulisikia kutoka kwa police wakisema kuna vijana 20 wameandaliwa kwenda polisi kwa kutumwa na CHADEMA.
Ulisikia taarifa hiyo?
Leo hii raia hata akiwa na shida ataogopa kwenda kutoa taarifa polisi kwa kuogopa kujuishwa na waharifu.
 
Haya mambo wenye mamlaka wanaweza kuona ni masihara lakini tunaweza kugeuka mexico au colombia kwa abduction na enforced disappearance.
Mm napenda yatokee kwa sababu wenye hayo mamlaka hawajali na ndio washukiwa wa mipango hiyo.
 
Lakini na ninyi upinzani si make kwa Siri muwawinde yaani mafwele anajulikana mnashindwa kumdatilia now days ifike kipindi mjue wananchi wengi hawajui yanayoendelea mengi yafahamika mtandaoni mjihami kwa silaha kufa na kupona msidanganywe na simu au watu pale mnapogundua mtatekwa, mjihami.


Ukifika kipindi unajua Kuna kufa kwa kuuliwa kufa na mtu au acha mareha yasiyosahsrika


Mimi huwezi nionyesha bastola nikakaabchinu na huna utambulisho na barua ukimtumia nguvu na mimi natumia nilisha fanyiwa visanga vya hivyo na askari bila kujali Sheria mimi Nina roho yangu ngumu mno nikishajua Kuna hatari ya kufa sinyenyekei nitakufa na mtu au niende mbele ya Sheria hatuwezi kuwa waohabyaani mtu kaja mtaani kwako na bunduki Hana utambulisho wala barua eti unakubali kuingia kwenye gari mwache afyatue risasi mbele ya raia ukifa hapo raia watakuwa na mwNga na hao ndo vhanzo cha revolution sio unaenda kuteswa machakani kisa umeogopa bastola mimi nimezishika bastola na bunduki Sasa niziohope kwa lipi ukichwa risasi ya kichwa unakufa hapo hapo na itapendeza ikiwa mbele ya raia sio machakani kuweni kama wanaume acheni ushamba wa kulia mtandaoni alafu wakijia mnapenda nao.
 
Na wengi wa waliotekwa na kupotezwa walitoa taarifa kama sio tahadhari ila ndo hivyo jeshi letu wala huwa halishughuliki na hizo taarifa wala zaidi ya kukana kuwa hawahusiki na mikwala kibao
 
Dawa ya watekaji ni kujilinda dhidi yao, hakuna kukaa kizembe ni kukabiliana maana ni majambazi tu hao. Hata jeshi la polisi linawasaka watekaji hao maana hawajulikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…