Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Je jamii iliyo nyamazishwa, ama itakayo nyamazishwa itanyamaza hadi lini, what will be the Future of silent society and how long will the silent society keep quiet , binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, akili zake zinakuwa na akili sana akipata changamoto, uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge binadamu hujisabanishia Changamoto kwasababu ya uvivu, ujinga na uzembe lakini mtu mwingine anaweza kusababisha changamoto kwa makusudi ama bila kujua
Je Tutanyamazishwa hadi lini?
 
Hizi ndio kauli muhimu Kwa Sasa.

Bahati nzuri Mahakama na Spika wa Bunge wamethibitisha kuwa watekaji siyo Vyombo vya Usalama. Kwa lugha NYINGINE watekaji ni Magaidi au maharamia au majambazi!!

Tuvisaidie Vyombo!! Ukiitwa nje usitoke kizembe
wapi wamethibitisha? lakini Bashe alishasema tena Bungeni wakati ule, kwamba kuna kundi ndani ya usalama wa taifa wanafanya utekaji...! na ndivyo ilivyo hata sasa, wanawatanguliza polisi lakini mastermind wa huu mchezo ni wao!
 
Mwanasiasa anaweza kutengeneza TAHARUKI ukajaa hasira kifuani....

Hizo ndizo siasa za baadhi ya wanasiasa....

Usiwaamini [emoji817]% kwa kila ASEMALO haswa pale "anapolalamika"....

Imenikumbusha komredi Ali Bananga Mwatiga....kipindi yuko CDM alikuwa na uwezo wa KUANDIKA POST ama kusema neno kali likausisimua mwili na kuweza hata kutafuta mawe ukaenda nayo maandamanoni......

#Tafakari
Hakuna kitu kama hicho...!
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama

Mwanasiasa anaweza kutengeneza TAHARUKI ukajaa hasira kifuani....

Hizo ndizo siasa za baadhi ya wanasiasa....

Usiwaamini [emoji817]% kwa kila ASEMALO haswa pale "anapolalamika"....

Imenikumbusha komredi Ali Bananga Mwatiga....kipindi yuko CDM alikuwa na uwezo wa KUANDIKA POST ama kusema neno kali likausisimua mwili na kuweza hata kutafuta mawe ukaenda nayo maandamanoni......

#Tafakari
Juzi tulisikia kutoka kwa police wakisema kuna vijana 20 wameandaliwa kwenda polisi kwa kutumwa na CHADEMA.
Ulisikia taarifa hiyo?
Leo hii raia hata akiwa na shida ataogopa kwenda kutoa taarifa polisi kwa kuogopa kujuishwa na waharifu.
 
Haya mambo wenye mamlaka wanaweza kuona ni masihara lakini tunaweza kugeuka mexico au colombia kwa abduction na enforced disappearance.
Mm napenda yatokee kwa sababu wenye hayo mamlaka hawajali na ndio washukiwa wa mipango hiyo.
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .


Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Lakini na ninyi upinzani si make kwa Siri muwawinde yaani mafwele anajulikana mnashindwa kumdatilia now days ifike kipindi mjue wananchi wengi hawajui yanayoendelea mengi yafahamika mtandaoni mjihami kwa silaha kufa na kupona msidanganywe na simu au watu pale mnapogundua mtatekwa, mjihami.


Ukifika kipindi unajua Kuna kufa kwa kuuliwa kufa na mtu au acha mareha yasiyosahsrika


Mimi huwezi nionyesha bastola nikakaabchinu na huna utambulisho na barua ukimtumia nguvu na mimi natumia nilisha fanyiwa visanga vya hivyo na askari bila kujali Sheria mimi Nina roho yangu ngumu mno nikishajua Kuna hatari ya kufa sinyenyekei nitakufa na mtu au niende mbele ya Sheria hatuwezi kuwa waohabyaani mtu kaja mtaani kwako na bunduki Hana utambulisho wala barua eti unakubali kuingia kwenye gari mwache afyatue risasi mbele ya raia ukifa hapo raia watakuwa na mwNga na hao ndo vhanzo cha revolution sio unaenda kuteswa machakani kisa umeogopa bastola mimi nimezishika bastola na bunduki Sasa niziohope kwa lipi ukichwa risasi ya kichwa unakufa hapo hapo na itapendeza ikiwa mbele ya raia sio machakani kuweni kama wanaume acheni ushamba wa kulia mtandaoni alafu wakijia mnapenda nao.
 
Dawa ya watekaji ni kujilinda dhidi yao, hakuna kukaa kizembe ni kukabiliana maana ni majambazi tu hao. Hata jeshi la polisi linawasaka watekaji hao maana hawajulikani.
 
Back
Top Bottom