Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Jeshi la polisi halimfahamu Faustin Mafwele?Dawa ya watekaji ni kujilinda dhidi yao, hakuna kukaa kizembe ni kukabiliana maana ni majambazi tu hao. Hata jeshi la polisi linawasaka watekaji hao maana hawajulikani.
Dr. Steven Ulimboka alitekwa na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande.Wa Dr Ulimboka na Chacha Wangwe?πΌ
Inatakiwa iwe hivyo.Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Na ukweli ndiyo huo.N
Ndiye mwasisi wa utekaji
Dereva Malya πΌDr. Steven Ulimboka alitekwa na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande.
Ila Mh. Chacha Wangwe akiwa ni Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, alikufa kwa ajali ya gari. Hivyo unatakiwa uwe makini. Usichanganye mambo.
Awaanike wazi ili tujue.Wataje aisee
Anapenda sana kiki huyu jamaa.Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Wewe ni mmojawapo wa Watekaji.Hata Lissu mlisemaga hivyo hivyo matokeo yake Lissu ni kilema kwa sababu tu ya Serikali yenu kupuuzia Wapinzani.Anapenda sana kiki huyu jamaa.
Ndioo mkuu awaweke wazi especially tuwaseme kidg huenda wakarebikaAwaanike wazi ili tujue.
Yani Twaha mdogo wangu unamtetea nani?Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Wakimteka watataka fedha...milioni 3 nitazipata kuwalipa......Siku akitekwa mamaako Mzazi ndio utaelewa haya mambo
Aisee hivi kweli mama hasikii na kuyaona haya?Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Na wewe siku ya kufa ikifika utakufa tu hata uwekewe Ulinzi wa Madaktari,Mapolisi,Wanajeshi na hata Wachawi au Waganga wa Kienyeji utakufa tu.Magufuri hakupenda Tundu Lissu aishi lakini cha ajabu alitangulia yeye na machawa wake bado msiba haujaisha.Yani Twaha mdogo wangu unamtetea nani?
Unaweka rehani maisha yako kisa nani?
Unadhani familia yako itaishi vipi bwana Twaha?
Hebu acha mkumbo wa kina Sultan mbowe utakuponza.tulia ujenge yako.
Nyerere.Nchi hii Shujaa ni Mmoja tu ππΉ
Swali la msingi hili?Nani aliwahi kujiteka, ili apate nini..kwani ni ajiteke leo na si juzi? usilete ubabaishaji wako hapa!
Ndiye Shujaa wa Tanzania aliyepambana na Wakoloni mpaka wakamwanchia Ikulu.Nyerere ni Mwenyeheri
ππ