Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Inatakiwa iwe hivyo.
 
Dr. Steven Ulimboka alitekwa na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande.

Ila Mh. Chacha Wangwe akiwa ni Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, alikufa kwa ajali ya gari. Hivyo unatakiwa uwe makini. Usichanganye mambo.
Dereva Malya 🐼
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Anapenda sana kiki huyu jamaa.
 
Yani Twaha mdogo wangu unamtetea nani?
Unaweka rehani maisha yako kisa nani?
Unadhani familia yako itaishi vipi bwana Twaha?

Hebu acha mkumbo wa kina Sultan mbowe utakuponza.tulia ujenge yako.
 
Aisee hivi kweli mama hasikii na kuyaona haya?
 
Yani Twaha mdogo wangu unamtetea nani?
Unaweka rehani maisha yako kisa nani?
Unadhani familia yako itaishi vipi bwana Twaha?

Hebu acha mkumbo wa kina Sultan mbowe utakuponza.tulia ujenge yako.
Na wewe siku ya kufa ikifika utakufa tu hata uwekewe Ulinzi wa Madaktari,Mapolisi,Wanajeshi na hata Wachawi au Waganga wa Kienyeji utakufa tu.Magufuri hakupenda Tundu Lissu aishi lakini cha ajabu alitangulia yeye na machawa wake bado msiba haujaisha.
 
Back
Top Bottom