Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Mkwawa alikufa kibudu lakini Nyerere kawa Waziri Mkuu wa Kwanza Mwafrika na Rais wa kwanza Mwafrika Tanganyika.
Mkuu samahani lakini...

Nyerere atabaki na heshima yake kubwa kwani yako wazi aliyoyafanya [emoji2956]

Lakini kumuita mtu yeyote kibudu si utu juu ya nafsi zetu....

Iwe kwa chifu Mkwawa ?!! [emoji44][emoji44]

Mababu zako wa familia walifariki na hawakuwa VIBUDU.....

Shukran mkuu wangu!

#Peace & Love
 
Uwaziri mkuu aliachiwa tu na Wazee wa Saigon
Si hao wazee wa Saigon pekee waliofanya makubwa ya kulikomboa taifa hili....

Nyerere atatajika...
Wazee wa Saigon watatajika....

Na wengi hawakutajwa ,hawatatajwa lakini ardhi ya Tanganyika itawataja siku zote kwa sauti zisizosikika na binadamu bali NDEGE ,WADUDU ,WANYAMA NA MITI....

#JMT Milele
 
Na wewe siku ya kufa ikifika utakufa tu hata uwekewe Ulinzi wa Madaktari,Mapolisi,Wanajeshi na hata Wachawi au Waganga wa Kienyeji utakufa tu.Magufuri hakupenda Tundu Lissu aishi lakini cha ajabu alitangulia yeye na machawa wake bado msiba haujaisha.
Wewe hata huna unaloelewa.kwahiyo unamsihi twaha apambanie kufa ili miendelee kulalamika mtandaon?

Hivi kwa jinsi mlivyo mazezeta mtaanza ooh ulimwengu wa kimataifa ooh misaada isitishwe.hivi ulimwengu huu ulivyojaa mabepari unadhan kuna wakukusikia?

Masikini kijana Soka amepotea na kuiacha familia kwenye mateso huku wenzie wakiwa weekend majumbani mwao wanachoma kuku kwa mrija.

Sawa pambana ili wakuteke alafu wenzio waweke bundle kukutetea Jf na X
 
Wanatetea wananchi au wanafanya kwa maslahi yao!!? Kila mmoja anavutia upande wake akishapata inakuwa yale yale 'mwenye shibe hamjui mwenye njaa'
 
Iyo alert asiipuuzie soon tutamkosa
 
Izi KIK za kutekwa ifike mahala tuseme basi
 
Wanatetea wananchi au wanafanya kwa maslahi yao!!? Kila mmoja anavutia upande wake akishapata inakuwa yale yale 'mwenye shibe hamjui mwenye njaa'
Hakika mtoto nylon
 
Wa Dr Ulimboka na Chacha Wangwe?🐼
Hivi chama tena cha upinzani,kinaweza kikafanya mauaji halafu serikali ishindwe kuwabaini au huwa inawasamehe?
Chacha wangwe kuna baadhi ya watu wanasema aliuawa na CHADEMA,Ben Saa8 pia,halafu hata shambulio la Lissu pia,eti CHADEMA kinahusika,mi mbona ntaidharau serikali sana,eti chama kiishinde serikali,duuh!
 
Twaha Mwaipaya, kaa kivita all the time....

Chukua tahadhari kila unapopita na kwenda..

Hakikisha kila unapoenda kazini kwako au kwenye shughuli zako za kutafuta mkate una watu kushoto, kulia, nyuma na mbele wanakupa kampani....

Usikubali kuitikia wito wowote wa simu kwenda popote. Kama ni polisi, chukua tahadhari zote kujiridhisha kuwa wanaokuhitaji ni polisi kwelikweli isije ikawa ni polisi wale bandia, majambazi na magaidi...
 
mpka muishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…