johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waliopambana ni akina Chifu Mkwawa 😂😂Ndiye Shujaa wa Tanzania aliyepambana na Wakoloni mpaka wakamwanchia Ikulu.
Nyerere alisaini tu pale UN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliopambana ni akina Chifu Mkwawa 😂😂Ndiye Shujaa wa Tanzania aliyepambana na Wakoloni mpaka wakamwanchia Ikulu.
Mkwawa alikufa kibudu lakini Nyerere kawa Waziri Mkuu wa Kwanza Mwafrika na Rais wa kwanza Mwafrika Tanganyika.Waliopambana ni akina Chifu Mkwawa 😂😂
Nyerere alisaini tu pale UN
Uwaziri mkuu aliachiwa tu na Wazee wa SaigonMkwawa alikufa kibudu lakini Nyerere kawa Waziri Mkuu wa Kwanza Mwafrika na Rais wa kwanza Mwafrika Tanganyika.
Mkuu samahani lakini...Mkwawa alikufa kibudu lakini Nyerere kawa Waziri Mkuu wa Kwanza Mwafrika na Rais wa kwanza Mwafrika Tanganyika.
Si hao wazee wa Saigon pekee waliofanya makubwa ya kulikomboa taifa hili....Uwaziri mkuu aliachiwa tu na Wazee wa Saigon
Anatajwa kuongoza Watekaji, siyo kusikia, sema haoni!Aisee hivi kweli mama hasikii na kuyaona haya?
Wewe hata huna unaloelewa.kwahiyo unamsihi twaha apambanie kufa ili miendelee kulalamika mtandaon?Na wewe siku ya kufa ikifika utakufa tu hata uwekewe Ulinzi wa Madaktari,Mapolisi,Wanajeshi na hata Wachawi au Waganga wa Kienyeji utakufa tu.Magufuri hakupenda Tundu Lissu aishi lakini cha ajabu alitangulia yeye na machawa wake bado msiba haujaisha.
Wanatetea wananchi au wanafanya kwa maslahi yao!!? Kila mmoja anavutia upande wake akishapata inakuwa yale yale 'mwenye shibe hamjui mwenye njaa'HAkika mkuu.. mi ningeshauri vyama vya upinzani viachane na biashara kichaa ya kuwatetea wananchi..mpka pale ambapo wananchi wangejitambua na kuanza kupigania haki zao. Kuna umuhimu gan wa kuhatarisha maisha yako na familia yako kwa watu ambao hawajali?? Hata mkikamatwa hawaandamani kushinikiza mtolewe
Sii wote ni kunguni kama weweYani Twaha mdogo wangu unamtetea nani?
Unaweka rehani maisha yako kisa nani?
Unadhani familia yako itaishi vipi bwana Twaha?
Hebu acha mkumbo wa kina Sultan mbowe utakuponza.tulia ujenge yako.
Iyo alert asiipuuzie soon tutamkosaKama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Izi KIK za kutekwa ifike mahala tuseme basiKama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Hakika mtoto nylonWanatetea wananchi au wanafanya kwa maslahi yao!!? Kila mmoja anavutia upande wake akishapata inakuwa yale yale 'mwenye shibe hamjui mwenye njaa'
Hivi chama tena cha upinzani,kinaweza kikafanya mauaji halafu serikali ishindwe kuwabaini au huwa inawasamehe?Wa Dr Ulimboka na Chacha Wangwe?🐼
Akitekwa Babaako uje tena na kauli za kijinga kama hiziIzi KIK za kutekwa ifike mahala tuseme basi
Sawa nyumbuSii wote ni kunguni kama wewe
mpka muisheKama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
ndiyo hao shetani wanaopambana na serikali iliyowekwa na Mungu hawawezi kushinda wataangamiaShetani hajawahi kumshinda Mungu