Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Mimi nakushauri ukihisi nyendo zisizoeleweka jitahidi umiliki silaha yeyote hata kama siyo ya moto.lakini ya moto itapendeza zaidi.mfano kama una gari kusikosekane kitu chochote cha ncha Kali kama panga,sime au mkuki mdogo ambao ikitokea huyo mtekaji akakuvizia kwenye gari malizana Naye hapohapo. Na ujitahidi kuwashirikisah watu wako wa karibu kuwa tayari muda wote .Tanzania bila utekaji wa policcm inawezekana.
 
Miaka ile Prof LIpumba aliagiza vijana wake waingie jim wapige chuma kwa utayari wa mapambano! Kumbe kipindi chenyewe ndicho hiki!
- Watakaoweza kupiga vyuma Jim wafanye hivyo
-Tutembee na silaha kila wakati na kila mahali
  • Usimwamini yeyote au wito wowote hasa usiku!
  • Uwe na filimbi tayari kupuliza na kulia mwizi wakati wowote.
Kwa yale makabila yetu tunajijua vilio vya kutoa alarm vinavyoamsha kila mtu!! APPLY
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Kwa kweli aisee, kila mtu alale na panga ndani kwake, akija yeyote awe ma kitambulisho au asiwe nacho, ni kuoiga panga tu..
 
Waliompoteza na wao muda ukifika watapotezwa tu.
 
Mjomba huteki watu ?
 

Jamani si ndo nyie mlikuwa mnasema nchi imefunguliwa? Huku mnacheza mkasema sasa mtalala milango wazi.
😛
 
Yani mtu anaetaka kukuteka aje akuulizie nyumbani? Mtakuja kuua hata wazoa taka kwa uoga wa kijinga
 
Ni vizuri viongozi wa vyama vya siasa hasa CHADEMA wakaamua kuachana na siasa za upinzani/mbadala na kumwelekeza msajili kufuta chama chao kwa manufaa ya wanachama wao wanaosemekana kutafutwa na hao watu wasiojulikana.
Na kama wataona inafaa kwa pamoja watangaze kujiunga na CCM kupitia Mkutano wao mkuu,kwa kuwa ili kuiondoa CCM madaraka ni sharti uwe ndani yake.
Soviet ilivunjika mwaka 1990,lakini leo iko juu kiuchumi na ushawishi katika Dunia kuliko vile ilivyokuwa zamani,wanasiasa wale wale hawawezi kutumika Kila siku kuiondoa CCM madaraka.
Vyama vya siasa viwekeze siasa zao kwa planning za muda mrefu,ikiwezekana wawe sehemu ya wenye maamuzi kuliko kubaki nje.
Sio dhambi kutafuta alternative za kushika Dola hata kama zitachukua muda mrefu ili mradi zisivuruge amani ya Nchi na Maendeleo.
Siku zote wananchi hawaitaji maneno matupu wanahitaji Maendeleo ya vitu vinavyoonekana na sio porojo na malalamiko ya wanasiasa.
 
Yote hii ni kumuogopa Awadh Haji na Faustin Mafwele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…