Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #121
Nape alikuwa na kiburi kuliko wewe hadi alipotolewa Bastola hadharani kwa Maagizo ya Makonda, endeleaHii nchi ni amani tupu tunaendelea kufanya shughuli za kujiongezea kipato hakuna hatari yoyote tumeiona huku ,labda ulipo wewe
Sio sio uoga Mkuu,kuanza upya sio shida.Yote hii ni kumuogopa Awadh Haji na Faustin Mafwele?
Hakika Kwa jina la Yesu Kristo hautakufa bali utaishi.Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
AmenHakika Kwa jina la Yesu Kristo hautakufa bali utaishi.
Na hao wanakufatilia Nyumba zao na za Baba zao Mungu azigeuze kuwa jaa la moto.
Kwani nani kakukataza kuanzisha chama chenye nguvu kuliko CHADEMA ili uiondoe CCM maana makombora unairushia CHADEMA wakati na wewe una uwezo wa kuanzisha chama.Ni vizuri viongozi wa vyama vya siasa hasa CHADEMA wakaamua kuachana na siasa za upinzani/mbadala na kumwelekeza msajili kufuta chama chao kwa manufaa ya wanachama wao wanaosemekana kutafutwa na hao watu wasiojulikana.
Na kama wataona inafaa kwa pamoja watangaze kujiunga na CCM kupitia Mkutano wao mkuu,kwa kuwa ili kuiondoa CCM madaraka ni sharti uwe ndani yake.
Soviet ilivunjika mwaka 1990,lakini leo iko juu kiuchumi na ushawishi katika Dunia kuliko vile ilivyokuwa zamani,wanasiasa wale wale hawawezi kutumika Kila siku kuiondoa CCM madaraka.
Vyama vya siasa viwekeze siasa zao kwa planning za muda mrefu,ikiwezekana wawe sehemu ya wenye maamuzi kuliko kubaki nje.
Sio dhambi kutafuta alternative za kushika Dola hata kama zitachukua muda mrefu ili mradi zisivuruge amani ya Nchi na Maendeleo.
Siku zote wananchi hawaitaji maneno matupu wanahitaji Maendeleo ya vitu vinavyoonekana na sio porojo na malalamiko ya wanasiasa.
Atekwe kwa lipi? Acheni siasa uchwara.Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Mamlaka za kiduniaNa kwa nini vijana wauawe na wenye mamlaka wakati mahakama zipo,polisi wapo,magereza yapo?
Kuilinda ccm.Mamlaka za kidunia
Ahahahahaha! Wewe ushapiga wangapi hayo mapanga!? Au ndio ule "utemi wa JF at work! Ahahahahaha!!!Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Utapiga watu mapanga bila ya sababu siyo! Halafu nimetoa tu mapendekezo/ushauri. Sasa huo utemi wa JF at work uko wapi kwenye maelelezo yangu?Ahahahahaha! Wewe ushapiga wangapi hayo mapanga!? Au ndio ule "utemi wa JF at work! Ahahahahaha!!!
Watanzania tuamke au sivyo tutakwisha woteKama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
HakikaWatanzania tuamke au sivyo tutakwisha wote
Kwa nini tusiwajibu haya madudu yao?Hakika
Ndio kinachofuataKwa nini tusiwajibu haya madudu yao?
Tusikubali kutekwa kizembe
Ahahahahaha! Mange Kimambi anawafahamu uzuri watu kama nyie. Ahahahahaha! Vitisho viiiingi JF, lakini kwenye reality Sasa, mnajua kabisa Serikali ipo na ipo imara! Ahahahahaha!!!Utapiga watu mapanga bila ya sababu siyo! Halafu nimetoa tu mapendekezo/ushauri. Sasa huo utemi wa JF at work uko wapi kwenye maelelezo yangu?
"We were forced to install the Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe ('MK') within ANC because the Whites Minority Government of South Africa was terrorising us (ANC) by using the State Security Forces."Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Una uwezo mdogo sana!Utakuwa unafatiliwa na Mbowe
Wewe una shida mahali. Siyo bure.Ahahahahaha! Mange Kimambi anawafahamu uzuri watu kama nyie. Ahahahahaha! Vitisho viiiingi JF, lakini kwenye reality Sasa, mnajua kabisa Serikali ipo na ipo imara! Ahahahahaha!!!