Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Hii nchi ni amani tupu tunaendelea kufanya shughuli za kujiongezea kipato hakuna hatari yoyote tumeiona huku ,labda ulipo wewe
Nape alikuwa na kiburi kuliko wewe hadi alipotolewa Bastola hadharani kwa Maagizo ya Makonda, endelea
 
Yote hii ni kumuogopa Awadh Haji na Faustin Mafwele?
Sio sio uoga Mkuu,kuanza upya sio shida.
Tatizo lilianza pale wanasiasa waliposahau Mali za CCM kurudishwa Serikalini baadae ya kupitishwa rasmi kwa mfumo wa vyama vingi.
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Hakika Kwa jina la Yesu Kristo hautakufa bali utaishi.

Na hao wanakufatilia Nyumba zao na za Baba zao Mungu azigeuze kuwa jaa la moto.
 
Ni vizuri viongozi wa vyama vya siasa hasa CHADEMA wakaamua kuachana na siasa za upinzani/mbadala na kumwelekeza msajili kufuta chama chao kwa manufaa ya wanachama wao wanaosemekana kutafutwa na hao watu wasiojulikana.
Na kama wataona inafaa kwa pamoja watangaze kujiunga na CCM kupitia Mkutano wao mkuu,kwa kuwa ili kuiondoa CCM madaraka ni sharti uwe ndani yake.
Soviet ilivunjika mwaka 1990,lakini leo iko juu kiuchumi na ushawishi katika Dunia kuliko vile ilivyokuwa zamani,wanasiasa wale wale hawawezi kutumika Kila siku kuiondoa CCM madaraka.
Vyama vya siasa viwekeze siasa zao kwa planning za muda mrefu,ikiwezekana wawe sehemu ya wenye maamuzi kuliko kubaki nje.
Sio dhambi kutafuta alternative za kushika Dola hata kama zitachukua muda mrefu ili mradi zisivuruge amani ya Nchi na Maendeleo.
Siku zote wananchi hawaitaji maneno matupu wanahitaji Maendeleo ya vitu vinavyoonekana na sio porojo na malalamiko ya wanasiasa.
Kwani nani kakukataza kuanzisha chama chenye nguvu kuliko CHADEMA ili uiondoe CCM maana makombora unairushia CHADEMA wakati na wewe una uwezo wa kuanzisha chama.
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Atekwe kwa lipi? Acheni siasa uchwara.
 
Hatari sana lakni haya mambo kuna walioanzisha na ubaya unawarudi
 
Attachments

  • SIRI_IMEFICHUKA_UKWELI_MTUPU__ALIYETEKWA__AWATAJA_WATEKAJI_NA_MBINU_ZA_UTEKAJI(360p).mp4
    94.8 MB
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Ahahahahaha! Wewe ushapiga wangapi hayo mapanga!? Au ndio ule "utemi wa JF at work! Ahahahahaha!!!
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Watanzania tuamke au sivyo tutakwisha wote
 
Utapiga watu mapanga bila ya sababu siyo! Halafu nimetoa tu mapendekezo/ushauri. Sasa huo utemi wa JF at work uko wapi kwenye maelelezo yangu?
Ahahahahaha! Mange Kimambi anawafahamu uzuri watu kama nyie. Ahahahahaha! Vitisho viiiingi JF, lakini kwenye reality Sasa, mnajua kabisa Serikali ipo na ipo imara! Ahahahahaha!!!
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
"We were forced to install the Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe ('MK') within ANC because the Whites Minority Government of South Africa was terrorising us (ANC) by using the State Security Forces."

Oliver Reginard Kaizana Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967-1993.
 
Back
Top Bottom