Leo nomeona mitandaoni kuwa Twaha Mwaipaya katekwa
1. Inawezekana ikawa ni KIKI kuelekea 29th October 2026 ili kuendelea kuichafua Tanzania kimataifa
2. Twaha amekuwa komandooo wa kutufundisha namna ya kukwepa kutekwa je yeye hakutumia mbinu hizo?
3. Yeye huwa anajiita guachevara au castro sasa Castro gani unatekwa kifala hivyo?
4. Ukiwa nchi ya jirani na una status ya ukimbizi utatekwaje?
WANAHARAKATI UCHWARA ACHENI KUICHAFUA NCHI YETU