Tweet hii ya Prof. Mwandosya inanifanya nimkumbuke Ben Saanane

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kaandika hivi kupitia twitter:

"Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu. Hata ya uzamili ni kazi sana. Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?"
 
Maana yake hata ya korosho ilikuwa fake
 

Ukisikia Hangaya na katelefoni nao ma doc wahitimu usijedhani miye nabii ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Unadhani naye atatekwa na kuwekwa kwenye sandarusi ?
 
Namheshimu sana Professor Mark Mwandosya na sina wasiwasi kuhusu IQ yake Kubwa ila wanachonishangaza na Kuniudhi zaidi hawa Wasomi na Wastaafu ni kwamba wakiwepo ndani ya Mfumo hawasemi lolote ( hawakemei ) ila wakitoka na kukosa 'Ulaji' na 'Njaa' kuanza Kuwaingia Mifukoni mwao ndiyo utaona Akili zao zinawarudi na wanajifanya Kukemea na Kuhoji Masuala ( Issues ) nchini. Nachukia sana Unafiki.
 
Huwa sio njaa ila huwa zimepungua kuongezeka ,, !!
 
Yeye huyo Mwandosya amefanya nini cha maana kwenye taifa letu na PHd yake? Kama sio kufuga nywele na ndevu shagarabagara! Kwaa hiyo alitaka yeye tu awe na PHd?
 
kama nawaona wale wakufunzi wakiwa katika mipango mkakati ya kutunuku watu ma phd๐Ÿ˜‚

huenda Tanzania ndio wale wagalatia wa zamani walioambiwa, "enyi wagalatia wapumbavu ni nani aliye waloga"
 
Hao jamaa wamenunua PhD kimkakati ili kujiandaa na urais vs mama au baada ya mama vyovyote iwavyo hii team imeshaonyesha Early aspirations ihujumiwe kidola haraka na eagle team yetu kwa manufaa ya taifa.
Wao wenyewe ndio Eagle team๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Huwa hatuongeia wakati wa kula!!
 
kama nawaona wale wakufunzi wakiwa katika mipango mkakati ya kutunuku watu ma phd๐Ÿ˜‚

huenda Tanzania ndio wale wagalatia wa zamani walioambiwa, "enyi wagalatia wapumbavu ni nani aliye waloga"
Walimu vyuoni hapo ndio wanachomokea kimaisha. Wamejifunza UDSM wakufunzi wamepata sana teuzi baada ya wanafunzi wao kupata madaraka makubwa serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ