Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

Haya sasa waliowatuma wako salama. Huyo naye watasema mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Kama hukai kwa shemeji utaumia nn? Kama unajitambuwa huwezi kuleta hoja mfu na kuonyesha ulivyo kilaza namna hiyo
Ndio maana nasema huna hoja,umebaki unatangatanga kwa personal attacks tena kwa watu usiowajua,shame!
 
Nataka uache kusiki mlio was Dada yako na Akili kupanuka dume nzima na mindevu unanyoa unakaaje kwa shemeji? 😂😂😂😂
Hapo umefurahi eeeh?Kweli nchi hii kuna watu ni mabox!
Ila poa,nifanyie mpango nihamie kwa mama yako!
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
KUTUCHANGIA HELA KANISNI KUJENGEA MSIKITI Bila kuomba ridhaa yetu si uchochezi?
anamuomba rukhsa askofu kwani askofu nishehe?
 
Achá kutumia makalio kufikiri

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom