Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

mbowe ameongea hayo akiwa na taarifa ya figisu zote , nafikiri ni tweet ya lissu anasema amezingirwa na maafisa wa polisi wanataka kumchukua na kumpeleka sehemu . sasa sijui atatoka katika jengo la NEC . Maana inasadikika akitoka tu wanamdaka . Mungu turehemu !
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
Takataka zote hizi zilikuwa kichwani mwako.!!!
 
Tena Mbowe anatakiwa atoe tu maelekezo maana udhalimu wenu CCM umefika kikomo. Kwa mlivhofanya Tunduma cha kuwakatama wagombea udiwani wa Chadema na kuwashtaki kwa ujambazi ili wasirudishe fomu zao ni udhalimu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kuvumiliwa popote pale.

Watanzania tumewachoka CCM na kwa sasa Tuko tayari kwa lolote dhidi ya CCM.

Lazima mkimbie ofisi za Serikali mwaka huu na tunaanza na tunduma
Sema umeichoka ssm sip uwasemee watanzania wote, ebo!
Sisi tunaishi kwa amani kwa sababu ya ssm😁😁😁😁
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
Ulicho andika ndio uchochezi, tweet iko wazi sana labda tatizo ni uelewa. Nikimaanisha umeilewa unavyo taka wewe.
 
Wewe muanzisha mada 'shuhuli' ndio nini?
Shuhuli limekaa kimbeya na kishakunaku - na zaidi si Kiswahili fasaha. Kinega mmoja mkalia kindunde.
 
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.

Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa Twitter kuandika Maneno ambayo yanaashiria kuhamasisha vurugu na kuitishia Tume ya Taifa ya uchaguzi na kuonyesha nia ya dhati ya kutaka kuingilia mamlaka yao.

Kama siku zote CHADEMA mmekuwa wahubiri wa kutaka watu waheshimu Mamlaka na sheria za nchi basi nyie mnatakiwa muwe mfano. Kwanini mnakuwa na wasiwasi sana juu ya Mgombea wenu?

Kwanini Mgombea wenu aheshimu sheria na Utaratibu uliopangwa kwanini mgombea wenu aheshimu Mahakama.

Binafsi iliniudhi sana kuwaona CHADEMA mnamsapoti Tundu Lissu hata pale alipoitwa na Mahakama na kushindwa kuhudhuria kwa kudai kajiweka karantini halafu akaja kuonekana kwenye mikutano na baadhi ya Maandamano.

Mbowe msiichezee Tanzania kama kweli mnajua hamjavunja sheria kwanini mnakuwa na wasiwasi?

Tume ya uchaguzi kama itamkata Lissu lazima itoe sababu so kabla CHADEMA hamjafanya maamuzi itabidi muipime hiyo sababu na mjiulize, je kaonewa ama la.

Msitutishe nchi hii ni kubwa kuliko CHADEMA na CCM pia uchaguzi sio baina ya CCM na CHADEMA tu bali kuna vyama kibao so CHADEMA mkijitoa uchaguzi bado utakuwepo tena kwa nguvu ile ile.

====

Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.

View attachment 1547347
Ulimkemea Nape alipotaka wakate buti na mitama watu mbele ya majaliwa? Au uchochezi ni kwa wapinzani tu????
 
Wanajua wanacho kifanya, wanajua kabisa wamefanya makosa ambayo yanaweza kutumika kuwaondoa kwenye uchaguzi. Hapo wanajihami ili hata wakikatwa kwa makosa yao basi jamii iamini kuwa wanaonewa. Yani wanataka kutuaminisha kwamba maana halisi ya Tume kutenda haki ni lazima wao wapite tu hata Kama wanatenda makosa lakini yasiangaliwe badala yake wapitishe tu lakini kinyume na hapo basi Tume haitendi haki.

Wajue tu kuwa Tume haitoi maamuzi kwasababu ya hivyo vitisho vyao kuvuruga amani asiye fuata utaratibu lazima aadhibiwe.
Taja hayo makosa.
 
Back
Top Bottom