Uchaguzi 2020 Tweet ya Mbowe tayari ni uchochezi, Vyombo vya Dola vimshuhulikie

mbowe ameongea hayo akiwa na taarifa ya figisu zote , nafikiri ni tweet ya lissu anasema amezingirwa na maafisa wa polisi wanataka kumchukua na kumpeleka sehemu . sasa sijui atatoka katika jengo la NEC . Maana inasadikika akitoka tu wanamdaka . Mungu turehemu !
 
Takataka zote hizi zilikuwa kichwani mwako.!!!
 
Sema umeichoka ssm sip uwasemee watanzania wote, ebo!
Sisi tunaishi kwa amani kwa sababu ya ssm😁😁😁😁
 
Ulicho andika ndio uchochezi, tweet iko wazi sana labda tatizo ni uelewa. Nikimaanisha umeilewa unavyo taka wewe.
 
Wewe muanzisha mada 'shuhuli' ndio nini?
Shuhuli limekaa kimbeya na kishakunaku - na zaidi si Kiswahili fasaha. Kinega mmoja mkalia kindunde.
 
Ulimkemea Nape alipotaka wakate buti na mitama watu mbele ya majaliwa? Au uchochezi ni kwa wapinzani tu????
 
Taja hayo makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…