heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Analiwa kiboga na anapenda mambo hayo unajingineSawa tuseme ni ya Abdul kipi Cha ajabu labda?
Analiwa kiboga na anapenda mambo hayo unajingineSawa tuseme ni ya Abdul kipi Cha ajabu labda?
Mkuu fungua hii codeMganga amerudisha kuku amesema tuzidishe maombi.
Kwa hyo ndo tumemaliza hivyo.haya sawa analiwa kiboga.una faidika na nini wewe?.Analiwa kiboga na anapenda mambo hayo unajingine
Hio twit ilikuwa ya mwaka 2012 ,Ila hapo pa mama samia ana taka namba yake alipoteza naona uongo samia akitaka namba ya MO kuipata sio ngumu ana wezekana akawa sio yeye kwa mtazamo wangu
Hio twit ya MO ilikuwa 2012Ni yeye nimeikagua hiyo account imejaa
Picha za Kikwete, Assas, Samia kuanzia mwaka 2015
Nyuma ya hapo jamaa alikuwa ni punga
Wewe ni mtoto wa Clemence Mwandambo?Kafunga post 🤣 🤣 🤣 🤣
Ngoja tukadownload
Hivi huyo jamaa wa Fashioooni ana clean sheet kweli? Diara hayupo goliniKumeozaaa kabisaa, wenyewe wanakuambia.
"Fashioooooooon" kwa sauti ya Deo Kisandu.
Huyo anatembea na lingerie kabsa muda wote akitoa anamwaga oil tuHivi huyo jamaa wa Fashioooni ana clean sheet kweli? Diara hayupo golini
Nimesoma comments mpaka macho yanauma
Huyu dogo atakuwa ndio alikuwa anateka watu tangu kipindi cha Magu, mwaka 2012 alimuomba Mo namba kiholela hivi
Umeangalia mwaka? Ni ombi la mwaka 2012Ila hapo pa mama samia ana taka namba yake alipoteza naona uongo samia akitaka namba ya MO kuipata sio ngumu ana wezekana akawa sio yeye kwa mtazamo wangu
KWA HIVYOWatake radhi waislamu hawana hiyo tabia ni tabia ya Makafir
😂😂😂😂😂 sijuiHivi huyo jamaa wa Fashioooni ana clean sheet kweli? Diara hayupo golini
Sasa wee unataka uongo?Ivi haya mambo huwaga ni ya kweli? Dada
Shida nini? Nawee njoo nikuzoeshee.Hii mada umeingangania na kuifafanua hila shaka unakauzoefu enh
Achana nae, waja wa JF hawajawahi kunisumbua, afu uzuri nawamudu.Usimnyooshe kidole yeye, hii mada ipo on trending muda mrefuu wanaoiweka juu ni woote sie ukiwemo na wewe
Nimejua tyuuh.Umejuaje? King Kong III