instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma.
Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kufanya curriculum revise aliona mbali sana, ni sawa na Leo hii mtu anaamini kuwa anaweza akaichezea amani ya Taifa letu akabaki salama huo sasa ni upumbavu.
hapa ni sawa na kuamini kuwa siku Moja chadema itakuja shinda uRais wa nchi😂😂 chama ambacho wanaume tu ndo wanahangaika na siasa za kitapeli nchini ili hali wake na watoto wanalelewa na Kodi za mabeberu