Tweet za Rais wa TLS ni aibu kwa Taifa hebu mwenye CV yake aweke hapa

Daaah!! Msaka tonge!!
Buku 7 kwa cku lumumba.

JOINED 17 MAY 2026.

Kazi ni kipimo cha utu
 
Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma.

Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kufanya curriculum revise aliona mbali sana, ni sawa na Leo hii mtu anaamini kuwa anaweza akaichezea amani ya Taifa letu akabaki salama huo sasa ni upumbavu.

hapa ni sawa na kuamini kuwa siku Moja chadema itakuja shinda uRais wa nchi😂😂 chama ambacho wanaume tu ndo wanahangaika na siasa za kitapeli nchini ili hali wake na watoto wanalelewa na Kodi za mabeberu
Ikiwa za kwake ni aibu,jua kuwa wapo wengine ambao zao ni kinyaaa kama kimba vile!Hebu jichagulie zako ziko wapi?
 
Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma.

Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kufanya curriculum revise aliona mbali sana, ni sawa na Leo hii mtu anaamini kuwa anaweza akaichezea amani ya Taifa letu akabaki salama huo sasa ni upumbavu.

hapa ni sawa na kuamini kuwa siku Moja chadema itakuja shinda uRais wa nchi😂😂 chama ambacho wanaume tu ndo wanahangaika na siasa za kitapeli nchini ili hali wake na watoto wanalelewa na Kodi za mabeberu
Nini hoja yako kwenye hii Post! Umechanganya mambo mengi kwa hasira kiasi umepoteza hoja.
 
Back
Top Bottom