instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Pole sanaEti ma advocate tulikosea, advicate wa nyoko
We endelea kusugua chaki nannyamba primary school huko
Mnachagua matango poriHao wenye elimu kubwa ya kufoji wamesaidia nn zaidi ya ufisadi
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.Weka kwanza yako isiwe kuwa ya elimu mbalimbali kama ya mama yako.
Na wewe unaweza ona umesoma mpka kidato cha nne lakini kichwani hamna kitu. Mnafkra za kijinga jinga sanaUzuri kibarua cha uchawa kinaenda kufika mwisho, tutaongea lugha moja tu
Usiifananishe CV yangu na ujingaWeka kwanza yako isiwe kuwa ya elimu mbalimbali kama ya mama yako.
Nani aliyekwambia kuwa mm ni mwalimu ...huwa nakuona unavyokaririsha watuChawa mwalimu tweet za mzururaji Makombo , Marekani huzioni?
Mwalimu acha kujiita advocate ni kinyume na maadili ya taaluma yao utapewa kesi ya impersonation , wewe baki na ujikubali kama mwalimu kitaaluma upambane na chama chenu kinachotafuna michango yenu na wasiwaeleze zinaenda wapi.
Unakataa wewe sio mwalimu kijijini Mufindi huko.?Nani aliyekwambia kuwa mm ni mwalimu ...huwa nakuona unavyokaririsha watu
Pole sana aiseeUnakataa wewe sio mwalimu kijijini Mufindi huko.?
Pole nikupe wewe , ambaye $20 inakutoa kijasho chembamba mnakatwa kila mwezi na hazijulikani zinakwenda wapi.Pole sana aisee
Maccm yamejaa upumbavu ndio maana Mwarabu Koko anazurula Kwa mabeberu kama chizNi aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma.
Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kufanya curriculum revise aliona mbali sana, ni sawa na Leo hii mtu anaamini kuwa anaweza akaichezea amani ya Taifa letu akabaki salama huo sasa ni upumbavu.
hapa ni sawa na kuamini kuwa siku Moja chadema itakuja shinda uRais wa nchi😂😂 chama ambacho wanaume tu ndo wanahangaika na siasa za kitapeli nchini ili hali wake na watoto wanalelewa na Kodi za mabeberu