Tweet za Rais wa TLS ni aibu kwa Taifa hebu mwenye CV yake aweke hapa

Huyu mavi ya nguruwe, amejibanza huko CCM anadhani uchawa utamsaidia CWT wanamnyooshaaaaaa kmmmmkee
 
Huyu mavi ya nguruwe, amejibanza huko CCM anadhani uchawa utamsaidia CWT wanamnyooshaaaaaa kmmmmkee
Moja ya machawa vilaza ya Lumumba ni huyu mwalimu , eti anasema ndoto yake ni kuteuliwa kuwa RAS , kwa akili hizi anashindwa kupambana na ufisadi kwenye chama chao cha walimu anakuja kuandika ujinga apewe buku 7.
 

Umewahi kwenda kwenye mhimili unaitwa bunge?

I think unaweza kuvunja TV au hata kujiua wewe mwenyewe

Bora hata anayofanya boss wa TLS
 
Moja ya machawa vilaza ya Lumumba ni huyu mwalimu , eti anasema ndoto yake ni kuteuliwa kuwa RAS , kwa akili hizi anashindwa kupambana na ufisadi kwenye chama chao cha walimu anakuja kuandika ujinga apewe buku 7.
Nani aliyekwambia kuwa Mimi ni mwalimu, mm ni mkulima na mfugaji
 
Nlipoona uzi una page 3 afu huna like hata moja
Nkajisemea moyoni
“Hapa pana shida”
 
ni addicts wa vilevi huyo hakuna haja ya kubabaika nae sana 🐒
 
Nani aliyekwambia kuwa Mimi ni mwalimu, mm ni mkulima na mfugaji
Mwalimu huwezi kukana taaluma yako, kinachokufanya ukatae wewe sio mwalimu ni nini?

Halafu ulivyo kilaza unajiita mkulima na mfugaji na hapo kwenye post yako umeanza kwa kujiita advocate.

Hivi kigezo namba moja kupewa kadi ya uchawa ni lazima uwe zezeta?
 
 
Shule zimefungwa sasa wote mmekimbilia humu JF kusumbua watu
 
Leta hiyo tweet kwanza, maana ameishauri sana kabla haya yote hayajaipata. Ungekuwa wewe ungesemaje si umshukuru hajakutukana maana kama amekushauri sana hatari iliyoko mbele Bado ukakaza fuvu lako Hadi unaingia shimoni ..akufanyie Nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…