Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

Haya magari ya UMEME mbona taa za mbele zinakuwa finyu? Sometimes unakuta hazina taa kabisa za mbele
LED imefanya mapunduzi makubwa sana kwenye lightings. Halogens zilikua jau sana. Angalia ata LC hizi mpya au Prius 2023 au Corola yaan siku hizi taa kama mstari tu ila mwanga ova jua.
 
LED imefanya mapunduzi makubwa sana kwenye lightings. Halogens zilikua jau sana. Angalia ata LC hizi mpya au Prius 2023 au Corola yaan siku hizi taa kama mstari tu ila mwanga ova jua.
Yes LED Ndo master wa Mwanga kwa wakati huu, ukipigwa full lazima upunguze mwendo😂😂
 
Ndio maana hazitoingia, unadhani US hawahamu hilo
Sema China akiamua hii vita kuichukulia serious, Tesla na Apple wanakufa. Kwa maana Tesla na Apple solo lao kuu ni China.
Screenshot_20240831-162338.png
 
Wakuu, ni EV nyingine kutoka China.

Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two!

View attachment 3082396
Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa Nader Faghihzadeh, huyu ndie aliedesign BMW 6 na 7 (F na G generations), ina muonekano wa kishua na kiboss kuanzia nje hadi ndani, na performance ya kutisha.
View attachment 3082397
Kwa kuanza, inakuja na options mbili either 90.4 kWh battery na mota moja (inakaa nyuma, so gari inakua RWD) inayotoa power ya 313 hp au 116.8 kWh battery na mota mbili (hii gari inakua ADW) inayotoa 578 hp.
View attachment 3082398
Ndani kuna oval shape steering wheel, na screen kubwa 15" inachukua eneo la kati. Kama haitoshi pia kuna bonge la screen inayoanzia kwa dereva hadi kwa abiria. Na juu pia kwenye roof kuna multimedia screen ambayo abiria wa nyuma wanaweza kufaidi.
View attachment 3082399
Kwa wanaopenda extra classy, kuna model yenu special limited edition inaitwa Avatr 012, ambayo ndani imeongezewa mbwembwe kutoka kwa madesigner kutoka Dior Homme na Fendi Women's, ili kukupa European Premium taste!

View attachment 3082400

Bei inaanzia $37,000/= tu.
Acha tusake hela nimeipenda
 
Back
Top Bottom