Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

Haya magari ya UMEME mbona taa za mbele zinakuwa finyu? Sometimes unakuta hazina taa kabisa za mbele
LED imefanya mapunduzi makubwa sana kwenye lightings. Halogens zilikua jau sana. Angalia ata LC hizi mpya au Prius 2023 au Corola yaan siku hizi taa kama mstari tu ila mwanga ova jua.
 
LED imefanya mapunduzi makubwa sana kwenye lightings. Halogens zilikua jau sana. Angalia ata LC hizi mpya au Prius 2023 au Corola yaan siku hizi taa kama mstari tu ila mwanga ova jua.
Yes LED Ndo master wa Mwanga kwa wakati huu, ukipigwa full lazima upunguze mwendo😂😂
 
Acha tusake hela nimeipenda
 
Wachina wao kazi wanayoiweza vizuri ni kuigilizia tu 🤣.
Natamani sana EV zao ila naogopa quality. Nasubiri miaka 3 ijayo hizi za 2023/24 zikiwa zimepoa najitoa muhanga EV.
 
Naona imefanana na Tesla kwa mbali..
Mchina hawezi akapoteza muda wake kuleta kitu tofauti na ambacho tayari kipo, maana yeye hana muda wa research na uvumbuzi bali duplicating😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…