Twende ki military lingo.......!!!!

Twende ki military lingo.......!!!!

Alpha one tanesco wamekata umeme and my battery is low,I repeat battery low please send me the QRF over and out
 
Nyie wote ni wapenzi wa series ya strike back...sasa naomba mnitafsirie pale anaposema "on your twenty" mara "on your six"...na "two clicks"....mi huwa siwaelewi apo.
Kijeshi huwezi ku-locate postion kwa kutumia maneno ya Kirai..Mfano East, West, North...

Huwa wanatumia kitu kinaitwa Clock ray Method..

Yani 12 Oclock..Means North
.......3 Oclock....East...nk.nk.nk
 
Nyie wote ni wapenzi wa series ya strike back...sasa naomba mnitafsirie pale anaposema "on your twenty" mara "on your six"...na "two clicks"....mi huwa siwaelewi apo.
hahahaha..ndo naiangalia hapa season five mzee..wamechokonoa north korea sio mchezo
 
Hata Mimi naitazama season five nipo pale Andrew anamlilia demu wake na jodhi alafu mei anenda kwenye ndege kukimbilia north Korea episode ndo imeisha,sasa wanaingia north Korea wakijifanya wao ni wajenzi wa reli
 
Hata Mimi naitazama season five nipo pale Andrew anamlilia demu wake na jodhi alafu mei anenda kwenye ndege kukimbilia north Korea episode ndo imeisha
mi naangalia jamaa wanavyotaka ku decode kitabu walichochukua benki kwa deposit box sijui ya nani..noma mzee
 
Back
Top Bottom