Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally .....
Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.
Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.