Twende mbele turudi nyuma golikipa wa Yanga ni "kopo", anademka tu

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally .....

Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.
 
Well said
 
Muongo.. eti mpira ulipita kati ya goli! Zungumzia na yale magoli 2 aliyookoa. Ububumbu kama huu ndiyo umefanya Mechatta akatemwa.
 
Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!
 
Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally .....

Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.
Mrudisheni Metacha sasa
 
🐸🐸🐸🐸 mnateseka sana saivi mnaanza kumlaumu kipa ila ukweli wachezaji ndo butua buta, kipa ataonekana bora endapo beki ni wazuri sasa beki ni utopolo mtupu
 
Naona Jemedari said unampigia chapuo unayemsimamia arudi like goli angefungwa kipa yoyote Yule kwa sababu Kama ni lawama zianzie kwa ninja aliyegongwa na mpira mgongoni ndio tuje kwa kipa Mana kipa sijaona kosa lake pale
 
Aliemleta Ntibazonkiza pale Yanga akamatwa kwakosa la kuongeza idadi ya wachezaji wehu kwenye club ya Yanga.
images (1).jpg
 
Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!
Kipa asiyeweza kucheza cross balls hawezi kuwa kipa bora. Chunguza anacokifanya ikipigwa cross.
 
Yanga nendeni kwa Mwamposa,mwakani mtashuka daraja
 
Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!
Morrison alishindwa nini Yanga?
Mbona aliperform paka Simba wakauona uwezo wake, au labda alishindwaje tuambie mwenzetu?
 
Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!
Acha uongo , Morrison alishindwa vipi Yanga?? Akumtungua Manula kwa free kiki ulikuwa umesafiri. Tena kwa Simba kapooza kwani akiwa Yanga ndio alikuwa na stye ya kusimama kwenye mpira. Huyu kilichomtoa Yanga ni pesa na wala si suala la uchezaji.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Badala ya kulaumu foward zenu zimeshindwa kufunga hata goli moja mnatafuta sababu za kijinga
 
Back
Top Bottom