Well saidHuyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally .....
Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.
Muongo.. eti mpira ulipita kati ya goli! Zungumzia na yale magoli 2 aliyookoa. Ububumbu kama huu ndiyo umefanya Mechatta akatemwa.Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally .....
Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.
Mrudisheni Metacha sasaHuyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally .....
Alaf anademka juu kana kwamba kafanya effort kubwa Sana kumbe wapi.
Kipa asiyeweza kucheza cross balls hawezi kuwa kipa bora. Chunguza anacokifanya ikipigwa cross.Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!
Nyie Utopolo hamna Shukurani.......Huyu huyu Shikalo ndo Aliyetoa mchango mkubwa Wa nyie Kutwaa Kombe La Mapinduzi Zanzibar......! Mshasahau sasa Mnamponda....!!Kipa asiyeweza kucheza cross balls hawezi kuwa kipa bora. Chunguza anacokifanya ikipigwa cross.
Morrison alishindwa nini Yanga?Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!
Acha uongo , Morrison alishindwa vipi Yanga?? Akumtungua Manula kwa free kiki ulikuwa umesafiri. Tena kwa Simba kapooza kwani akiwa Yanga ndio alikuwa na stye ya kusimama kwenye mpira. Huyu kilichomtoa Yanga ni pesa na wala si suala la uchezaji.Yanga Kuna Shida Ya Malezi Ya Wachezaji.....Morrison si huyo anakipiga Msimbazi Wakati pale Yanga ilishindikana.....! Shikalo akienda timu nyingine atanga'ara Sana, Ni bonge la Kipa...!