Mkuu, achana na kulipwa,Sasa kwa saa analipwa let say dollar 50 kwanini usikomae masaa 15 utakua umechota dollars ngapi
Njoo huku saa 1
Wapo wanaopenda kufanya kazi, na wapo wengi tu wavivu,Uongo watanzania wanapenda sana kufanya kazi ili kuingiza kipato ila sere za serikali ni mbovu
Ushasema biashara yakeMkuu, achana na kulipwa,
Mtu kwenye biashara yake tu hafanyi kazi muda huo, anachelewa fungua, anawahi funga, excuse nyingi
Malipo ya nje na malipo ya hii Nchi yako ni tofauti na utendaji kazi lazima uwe tofauti hata kulipwa nje wanalipwa kwa wakati Nchi yako watu wanapigwa pass ndefuWapo wanaopenda kufanya kazi, na wapo wengi tu wavivu,
Wavivu wao wanailaumu serikali kwa kitu
.sema wanalipwa vizuri
Tatizo tunapenda alafu hatujui jinsi ya kubadilisha mauno kuwa pesaπ€£π€£π€£π€£Sisi tunaweza kwenye 6 kwa 6 tu,mambo ya kutikisa chaga hapo hakuna anayetuweza
Tatizo kubwa la hapa kwetu ni tija ndogo kwenye kazi tunazofanya. Mtu anaingia kiwandani saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni analipwa elfu 5 tu. Mkulima na familia nzima wanashindia shambani kutwa kwa jembe la mkono, kumaliza ekari moja inawachukua hadi siku 5, wakija kuvuna wanapigwa za uso mpaka hawajielewe. Kwenye mashamba ya chai ulipwa sh 300 kwa kilo moja, ukichuma kilo 20 kwa siku una elfu 6 tu.Kila eneo lina value for money yake .unakuta huko unalipwa buk4 ila unaweza kula milo mi4...huku pia mishahara mikubwa ila expensive life ingawa huko kumezidi..mnanyonywa sana
πππππππMwafrika hasa mtanzania anataka apige kazi masaa nane tena hayo bado anaona ni mengi,
Awahi kutoka kazini apitie baa amwagilie moyo na nyama choma huku akibishana simba na yanga.
Wanawake wanataka wawahi kutoka kazini wapitie saluni wakajirembe huku wakipiga soga na umbea.
Halafu jumapili wakajazane makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba Mungu wapate mafanikio.
Hawa ndio waafrika..!!
Huwa nasahanga sana unakuta mtu anafungua duka la mahitaji saa tatu!Mkuu, achana na kulipwa,
Mtu kwenye biashara yake tu hafanyi kazi muda huo, anachelewa fungua, anawahi funga, excuse nyingi