Hakuna kazi na ajira hakuna. Ukienda nchi anazoziongelea mtoa mada utaelewa ninachoongea pia. Kazi zingekuweo tusingekuwa na mirundikano ya watu mabarabarani kama ilivyo sasa.Kazi zipo nyingi tu,ajira ndio hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kazi na ajira hakuna. Ukienda nchi anazoziongelea mtoa mada utaelewa ninachoongea pia. Kazi zingekuweo tusingekuwa na mirundikano ya watu mabarabarani kama ilivyo sasa.Kazi zipo nyingi tu,ajira ndio hakuna
Mirundikano ya watu ni kwa sababu ni wavivu na wasio wabunifuHakuna kazi na ajira hakuna. Ukienda nchi anazoziongelea mtoa mada utaelewa ninachoongea pia. Kazi zingekuweo tusingekuwa na mirundikano ya watu mabarabarani kama ilivyo sasa.
Umenikumbusha Tanga,ule mji hapana aisee..yani majitu ni mavivu hatari..kwanza maduka yanafunguliwa saa 4 asubuhi,saa 7 wanafunga kwenda misikitini kuswali,saa 8 wanaenda nyumbani kulala kidogo,saa 10 wanafungua tena,saa 12 wanafunga..akimmiss mke wake kidogo pia anafunga kwenda kumuona..nilishangaa maisha ya wale watuMtuacheee....kazi kidogo... kupumzika kidogo...msosi kidogo...ka usingizi kidogo...mshahara wa kumwaga....starehe za kumwaga..
Jibu rahisi hakuna kazi, Ubunifu ni kipaji pia.Mirundikano ya watu ni kwa sababu ni wavivu na wasio wabunifu
Utamaduni..., na maana ya utamaduni ni jinsi tunavyofanya mambo yetu (The way we do things) fikra, imani n.k. Zamani pamoja na umasikini wetu..., watu walikuwa Wazalendo na wizi ulikuwa aibu, ingawa watu waliiba na kufanya ufisadi (wachache) lakini jamii iliwaona kama wachawi; leo hii wizi ni ujanja ukiwa Mbunge ukimaliza term haujapata mali watu wanakuona ni mjinga na ulichezea opportunity.... Hivyo zao la kesho linakuwa kwa kuona kwamba wizi ndio ujanja na kila anayekemea huu wizi anaonekana ana wivu.....Hapo kwenye bold…
Hao viongozi wanatokana na sisi wananchi wenyewe, hawatoki kuzimu.
Mentality ya sasa watu wanaangalia vitu kwa mafungu wame-wabrain wash watu kwamba as in the animal farm wao ndio thinkers kwahio inabidi wale creme de la creme ili kuwatafutia maisha majority kitaa..., na ukiangalia Historically haya ni marudio tu, hivi vitu vikifikia peak na hawa majority kuzidi kubanwa mwisho wa siku wata-revolt it happened in French revolution...., tatizo la kuacha hii hali itokee automatically gharama huwa ni kubwa sana na huenda msirudi kwenye reli kwa miaka mingi... Kwahio hawa viongozi wangejua kula na vipofu angalau kuwapa basic needs (Historically binadamu amekuwa akinyonywa - Matsya Nyaya) lakini hata paka akiwa cornered hugeuka simba na ndicho kinachotokea sasa - nachelea kusema hata enzi za Mabwana na Watwana angalau Watwana walikuwa provided na chakula na sehemu ya kulalaKinachowajenga na kuwapa nguvu kuwa hivyo walivyo sasa ni jamii yetu. Wao ni zao letu, ni watu miongoni mwetu na matokeo ya mienendo ya jamii yetu.
Systems in place..., angalau huko kuna Taasisi zenye nguvu na kinachokusanywa ni shida kuliwa sababu kuna taasisi za habari ingawa sio perfect zinaweza kufichukua hence ku-act kama polisi wa kuzuia ufujaji..., kuna miundo mbinu ambayo inahakikisha mtu hata kidogo anachopata anaweza kutumia usafiri (public) kufika kwenye ka- ajira kake ambapo na anachopata huko kinamtosha kupata chakula...., na hapo naongelea nchi ambazo zina system nzuri n.k. sababu hata kina India tunaweza kuona Uchumi wao ni mzuri on paper lakini ukweli ni kwamba majority ni masikini..., naongelea kina United Kingdom ambapo angalau Healthcare ni kwa wote na kuna / ilikuwepo system ya angalau watu kupata affordable housing (Huku hata NHC imegeuka kuwa mtafutaji wa Gawio la Walamba Asali na sio Serikali / UMMA)...., Naongelea nchi kama Nordic Countries....Bado kuna jambo lipo linalosababisha hii tofauti kati yetu kuwepo.
Marginalization, faulo za hapa na pale and empires rise and fall.....; Clans can not defeat empires na katika hii issue ya developed countries Kuzinyonya underdeveloped huwezi kutegemea mmoja mmoja utashindana nao wakati unawategemea kwa mikopo na soko yaani uwakope ili uzalishe kwa quality wanayotaka na uwauzie pale wanapotakaKama sisi tulikua bora zamani na hao wenzetu wameiga kwetu basi ni kwanini tunashindwa kurudi katika ubora wetu? Kikwazo haswa ni kipi?
It takes ages there used to be Great Britain (Now its not great anymore) There used to be Roman Empire; Used to be Baghdad.... Timbuktu used to be a great city..., unachofanya leo ndio matokeo ya kesho na ukianza leo inachukua muda lakini cha kubadilisha zaidi ni mentality....Kwamba tumeshindwa kabisa hata kuanza upya basi? What really happened to us??
Colonialism ilituharibu kwa kutupiga break na kuturudisha nyuma; neo colonialism na imperialism inatufanya tuendelee kuwa tegemezi tunaendelea kulishana matango pori na mbaya zaidi tumekuwa walafi kwahio kila anayepewa usukani wa kuendesha Taifa anajiangalie yeye hence badala ya kufanya whats good for the nation anafanya what's good for him / her...Hii hali ukiifikiria kwa umakini unaona kabisa it goes beyond colonialism.
Walitufanya nini mpaka tuko hapa leo hii na kila juhudi ya kunyanyuka tena inapotea kila ikichipua?
Muafrika ana error kwenye gene yake. Kupenda starehe kuliko kazi. Wakati wenzetu wanaluwa drived na kazi then starehe. Is why wanapiga hatua sisi tukibakia kulalamika?Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Huna maajabu yeyote wewe ni sawa na hao unaowadharauCha maana ni nini?
Kila mtu ana vitu vyake anavyoona vya maana hapa duniani na wengine hakuna cha maana kwao hapa duniani
Kuna watu hata uhai hauna maana kwao, wanataka wafe tu. Kifo ndio cha maana kwao.
Kwa hiyo "cha maana" depends upon your frame of reference.
Keep speculating.Huna maajabu yeyote wewe ni sawa na hao unaowadharau
Sio speculating wewe ni mkosoaji wa kuwaponda waafrika huku wewe ukiwa huna cha maana ulichofanyaKeep speculating.
Kodi unakwepa vipi wakati mifumo ipo kama watch dog ukijikuna tu mfumo una weweBila kusahau na kodi wanalipa, njoo kwetu huku........ kukwepa kodi ndio ujanja.
Ni mazoea tu, mwili na akili unaweza kuzoeshwa mambo ukazoea kabisa, ni kama vile wanamichezo au wanajeshi wanavyopata mafunzo na kuweza kutekeleza majukumu yao katika mazingira ambayo binadamu wa kawaida hataweza kufanya hivyo. Hata wewe ukirudia kufanya hivyo kwa masaa 10,000 mfululizo utazoea na kuona ni jambo la kawaida.Ehee! Naomba kuuliza hao Wazungu huwa wanatumia kilevi chochote ili kuupa mwili na akili uwezo wa kufanya kazi muda mrefu?
Mana watu tunao uzoefu wa kufanya kazi saa 20 kwa siku ili kichwa na moyo vinakuwa vinauma na siku ukipata upenyo wa kulala, unalala kama umekufa.
Je, hao watu wanatumia nini?
Hata Japan kuna muda serikali ilianzisha kampeni kuwafukuza watu maofisini wakalale mana wengine walikuwa wanalala saa 3 tu badala ya saa nane za kiafya.
Wala sio mishemishe, ni mihangaikoHizo sio kazi mkuu ni mishemishe.
Je, hata hizo zilizopo zinafanyika kwa ufanisi wa kiwango gani?Sasa bongo kazi zenyewe ziko wapi? Watu tuko iddle sana, tunatamani hata tufanye kazi tatu tati ila hata hiyo moja ni mtihani!
Umeongea points, vijana wanashinda kwenye masoko kutafuta kazi wanaishia kua mawingaSasa bongo kazi zenyewe ziko wapi? Watu tuko iddle sana, tunatamani hata tufanye kazi tatu tati ila hata hiyo moja ni mtihani!