Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

Kama unalipwa kwa saa unaachaje kupiga kazi Sasa.
Sisi kwa saa wengi wanalipwa sh elf Moja sawa na sh elf tano Kwa siku.
Wao kwa lisaa unalipwa kuanzia dollar 10 kuendelea kwann usipige kazi
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
We ni mjinga sana
Mfano timu ya france ina waafrika asilimia kubwa lakin wanadeliver
Waafrika wale wale wanaochezea timu ya france walete afrika watafeli

Tatizo la afrika ni mifumo mibovu na uongozu mbovu
Mafanikio yeyote yamefungwa kwenye uongozi imara na mifumo imara
 
Suala siyo kazi, suala ni hela. Unalipwa 10k kwa siku. Matumizi ni shiling ngapi?
Hata ufanye kazi kama mchwa ila utabaki kuwa masikini tu kea sababu ya hela unayolipwa. Huu uzi mejadili mkiwa melewa?
Hata hio elf 10 wanaolipwa ni wachache.
Wengi ni elf 4 Hadi Saba Kwa siku kwa masaa zaidi ya kumi kwa siku
 
Hata waafrika wakienda ulaya wanapiga sana kazi.
Shida ni mfumo wenzetu waliseti mfumo ukitaka kuishi ni lazima ufanye kazi
 
Suala siyo kazi, suala ni hela. Unalipwa 10k kwa siku. Matumizi ni shiling ngapi?
Hata ufanye kazi kama mchwa ila utabaki kuwa masikini tu kea sababu ya hela unayolipwa. Huu uzi mejadili mkiwa melewa?
Okay...... basi tuseme uchumi wa nchi hizo unazalisha ajira nyingi zenye vipato vizuri ndio maana watu wanajituma kupiga kazi.

Nimekuelewa....
 
Kila eneo lina value for money yake .unakuta huko unalipwa buk4 ila unaweza kula milo mi4...huku pia mishahara mikubwa ila expensive life ingawa huko kumezidi..mnanyonywa sana
Inasikitisha sana
 
Okay...... basi tuseme uchumi wa nchi hizo unazalisha ajira nyingi zenye vipato vizuri ndio maana watu wanajituma kupiga kazi.

Nimekuelewa....
Mfano.
Idadi kubwa ya watanzania wanategemea kilimo cha mvua. Kibaya zaidi wanalima kwa kutegemea jembe la mkono na mbegu wanatumia za kizamani.
Hayo mazao wanapata faida ya kubadilisha yao?
Watu wanafanya kazi sana ila shida ni teknolojia na mishahara duni huku gharama za maisha zikiwa juu
 
Mtuacheee....kazi kidogo... kupumzika kidogo...msosi kidogo...ka usingizi kidogo...mshahara wa kumwaga....starehe za kumwaga..
 
Wanajituma katika kufanya kazi, kwa sababu wanalipwa vizuri. Mwajiri asipokujali, hata ile bidii ya kufanya kazi, inakata. Maana ukikaa unawaza utatokaje kwenye lindi la umasikini
Wabunge na mawaziri wanapiga kaz au hawapig kaz .ni mishahara minono waliyonayo..naomba unijibu...watu wa serikalin wanapiga kaz au hawapig kazi naomba ujib haya.
 
Huu uzi unaojadili, watu wanajadili huku wamelewa?
Mtu anafanya kazi kiwandani, analipwa 6000 mpaka 7000 kwa siku. Anaingia saa 1 asubuhi mpk saa 1 usiku. Chakula juu yake.
Hapo hata afanye kazi miaka 4000 hawezi kutoboa maisha.
Kabisa waTz wanapiga kazi sema salary ndogo na utegemezi mkubwa.
 
Ufanye kazi masaa 24 halafu unalipwa shiling ngapi?
Mwalimu unayemjua anazidiwa hela na kondakta wa daladala
Tatizo waafrika hasa watanzania wamesharidhika na umaskini wao.

Wala hawana muda wa kupigania haki zao za msingi.

Juzi kati hapa madaktari wa Kenya wamekinukisha kushinikiza serikali iwaongezee na kuboresha maslahi yao.

Watanzania ni kusifia kila kitu mama anaupiga mwingii.
 
Kabisa waTz wanapiga kazi sema salary ndogo na utegemezi mkubwa.
Watanzania wengi ni wajinga.

Wanashindwa kuwabana wanasiasa waboreshe maslahi yao.

Wanachowaza ni wao pia wapate nafasi kwenye uongozi wakaendeleze upigaji na ubadhirifu kama wafanyavyo viongozi wengine.

Ukiwa na taifa ambalo kila mtu ana mindset ya upigaji akaboreshe kizazi chake na familia yake, Maendeleo ya Taifa kuyafikia ni ngumu mno.
 
hakika,huko watu wakiwa kazini akuna story akuna simu ni kazikazi.

mfano huku kwetu bank kuna madirisha sita tellers,ila dirisha linalohudumia ni moja tu msululu wa watu na bado huyo muhudumu dakika moja simu dakika moja anahudumia.
 
Mfano.
Idadi kubwa ya watanzania wanategemea kilimo cha mvua. Kibaya zaidi wanalima kwa kutegemea jembe la mkono na mbegu wanatumia za kizamani.
Hayo mazao wanapata faida ya kubadilisha yao?
Watu wanafanya kazi sana ila shida ni teknolojia na mishahara duni huku gharama za maisha zikiwa juu
Hata ukiwapa hizo technology na mitaji still wataendelea kuwa masikini TU,Kupiga KAZI ni mfumo .
Wakoloni waliwatengenezea wafrika mfumo kama wa ulaya wa ufanyaji kazi,baada ya uhuru tuharibu.
 
Back
Top Bottom