Hata kama ni ukachero lkn sio huu wa wazi na kishamba namna hii.
Sio kwa faida ya upinzani, ni kwa faida ya nchi. Jasusi mbobevu amekuwa jasusi asiye na kiwango!Asante kwa kuungana nasi katika mtandao huu wa JF.
Kuhusu uchaguzi, ni wazi hauko serious na ni bora umekuwa hivyo kwa faida ya upinzani.
Anatuzuga tuBlaza hili ndio goli la dakika ya 89?
Kura zote za ACT na watanzania wengine ni kwa Benard Membe.
Mkuu umenifundisha kuongea siriasi hata mambo ambayo moyoni najua hayapo wala hayawezi kutokea.
Uzi mzima wewe ndio umeona mbali sana. Watu wanachukulia masihara ila kuna faulo itachezwa hapa na Membe atatumika kuhalalisha uchaguzi.Felix Tshekeli 2.0? I mean what is the plan here?
Siyo yeye, kuna jamaa wameishiwa pumzi, wanatapatapa.Yaan hata kampein hujapiga halaf unafunga kampein
Wewe umetumwaa mpuuzii
Mrudishe ccm basi kama umeumia sanaMembe ninaumia sana jinsi Chadema walivyokufanyia
Naomba uwakaripie wale watu ni wabaya sana