Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Uchaguzi 2020 Twende na Bernard Membe, tuunde Serikali ya kazi na bata! Naomba kura zenu

Mzee wangu nakuombea tu retirement yenye heri na Mafanikio.
 
Mzee wangu Membe,
Najua kuwa unajua kuwa unajua ila sijui kama hujui kuwa hujui.

Sawa unataka kuwa RAIS wetu sisi, hilo sio kosa ila kwa nini unakejeli kiti cha URAIS? Kwa nini unakejeli wana ACT ambao walikupokea kwa heshima? Kwa nini? Najua hujui ni kwa nini ila Najua unajua kuwa hakuna mtu atakupa KURA maana wewe sasa umekuwa KERO.

Sikupenda ulivopepotea wakati wa Kampeni kisha unakuja leo unataka tena kutuambia kwamba tukupe kura. SAWA tutakupa kura ila unajua kwama hata Kura za mama Anna Mghwira hutafikia? Najua kwamba unataka upewe uteuzi na JPM na ndio uchungu wako mkubwa hakuna kingine ni kutoka kuendelea kuonekana kwamba uko relevant. Ila unachofanyia Mfumo wa Demokrasi ya nchi hii ni bora tu ungekaa kimya au ungeendelea na kampeni za chini chini.

Ni Mtazamo wangu
 
Membe, wanadai wewe umetumwa na CCM kuja kugawa kura za upinzani. Je, kilichokuondoa CCM ni nini? Na humuwezi Lissu ki ukweli.

Kosa lako ulilofanya ni kumdharau mwenyekiti wako, ilitakiwa kukaa kimya washangae tu umechukua fomu.
Kwanini ACT walimchukua?
 
Magufuli sijui alikua wapi akihutubia akasema 'wengine wanasema wataletea bata, kwani nyinyi mmewaomba wawaletee mabata' hahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Magufuli is the best comedian, yaani nacheka huku naandika hahahah
 
Hongera sana mheshimiwa, maana muda wote mzee Hashim Rungwe Sipunda alikua ndiye ananyanyasa na kutawala. Ujio wake umeweza kumnyamazisha na sasa watu wanakuangalia wewe tu mheshimiwa.
 
Huyu Mheshimiwa anaenda kupunguza kura za CCM na sio za Chadema au ACT-WAZALENDO. Anawapa fursa wale waliokuwa kwenye Chama chake cha awali kukinyima kura chama chao bila kuwapigia Chadema.

Amandla....
Huko kwao wanamjua sana atapunguza za kwenu ACT WAZALENDO

Ana maeneo yake ya kujidai huko kusini na kabila lake la wamakua Lissu kusini hawezi mzidi kura Membe haiwezekani. Membe atambwaga, CCM tutachuana naye sababu kule ni ngome ya AKINA KASSIM MAJALIWA na SALMA KIKWETE tuna base kali ya nguvu ila LISU no no no kule hawezi msinda MEMBE wala profesa LIPUMBA CUF Kule ina maeneo ya kujidai na ndio iliongoza kujiondoa mikononi mwa wapemba akina Seif SHARRIF hammad ikamuunga mkono PROFESA LIPUMBA maalim SEIF hana chake kule. Tabora na mikoa ya Kusini ndizo sehemu za kujidai za CUF LIPUMBA Lisu huko hamshindi Lipumba wala MEMBE
 
Verified ID na non verified..
Wewe ni wasiku nyingi humu.
 
Zito na Maalim wabaya.....Wamekugeuka na kukusaliti...Badala ya kuungana kukuuza kwa kampeni wanashangaa mbona hujaanza kampeni...wabaya wabaya wamekutosa
 
Mambo ya dakika ya 89 hayo[emoji23]

Hii kauli mbiu ilikuwa tamu sana "KAZI NA BATA".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ana matani sana, anajiita eti ndiye Rais ajaye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wana ACT mpigieni kura Benard Membe ili angalau ruzuku yenu ikue kidogo. Hili ndilo lilikuwa lengo la Kiongozi wenu mkuu bwana Zitto Kabwe.

Kura hizo hazitoharibu na kupunguza pakubwa kura za Lissu au Magufuli
 
Back
Top Bottom