Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

Twendeni mbele na turudi nyuma au basi twendeni mbele tu

Kwa kifupi hawa madogo vijana wa hovyo weka mbali na mke, kwangu nyumbani hakuna mdogo wangu wa kiume anayeruhusiwa kuishi, usikubali wala usipende mazoea yoyote, hamna cha undugu, kuwa mkali kwa wote, chora mpaka, hamna cha shemeji wala nini kaa mbali, vijana vya hovyo hivi vinakuchekea ila vinajilia mzigo.
Watakutana nae kituo cha bus au super market.

Hakuna jinsi unaweza mlinda mwanamke aliedhamiria kufanya hayo.
 
Watakutana nae kituo cha bus au super market.

Hakuna jinsi unaweza mlinda mwanamke aliedhamiria kufanya hayo.

Wafanye huko ila sio unamsaidia dogo kimaisha anakula kwako, kunywa, malazi na kila kitu halafu anakulipa kwa kumla mkeo.
 
Kuna mtu hapa hawajui wote hao Na wala alikuwa hajui chochote kuhusu hii saga maana Sio MTU wa mitandao, nimemuuliza kuhusu hizo picha huyo Dogo kafanana Na nani? Akanijibu kafanana huyo mwenye nguo nyeupe

Hatar Sana.
 
Mwendazake ndiye biological father hili halina ubishi. Ingalao nguvu zake hazijapotea bure ametuachia ukumbusho. Mshikaji katuheshimisha sana tusiopenda uchawa wa kifala
Mshikaji katuheshimisha sana tusiopenda uchawa wa kifala[emoji23]
 
Back
Top Bottom