Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Mimi nadhani Masanja atakua alimpokonya dogo Demu wake kwa kutumia power ya pesa na umaarufu nae dogo akatumia power of love then dogo alipoamua kuja kuoa mke wa Masanja akamind na kumtema dogo ktk mpango wao wa siri