Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Kuna mengi kayabeba nyuma ya pazia hawezi kufanya hivyo sasaMonica atajiua. Subirini
Dogo alipoamua kuja kuoa mke wa Masanja akamind na kumtema dogo ktk mpango wao wa siri
😅😅😅Au hakuna kabisa [emoji23]
Hapo ndo tunafeliBasi msiwape mimba wanaume ambazo si zao.
Tuwe makini,tunaweza sikia habari ya yule mwalimu mbeya ikijirudia...Mmh hapa pagumu rafiki
Kwann hi picha haijazambazwa kipindi kilekile kweny sakata zana ilikuwa nn yaaniSio mchezo aisee mimi nimeangalia nikaanza kujiuliza hivi ni mimi tu na macho yangu au kila mtu anaona km ninvyoona mimi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Kama Ni huyu mtot ndio alianza kumdai bas kuna kila sababu katiba kauwawa kikatili mno kwa kunyongwaaDaah kumbe ndo maana katibu kajiua aliwaza mengi sana.
Damu yake itakuwaje wakiachana na Monica.
Ila tusimcheke masanja mwanamme yeyote yanaweza kukukuta
Sijajua mkuuKwann hi picha haijazambazwa kipindi kilekile kweny sakata zana ilikuwa nn yaani
Mwanamke fashisti huyu yaani alitaka yeye awe na waume wawili? Au walipanga wamuue masanja ili waoane baadae?Ndio ukweli halisi huo sasa, yule kikomwe kama tunda ya ubuyu alikasirika mwenzie kuoa akaamua akatishe mahusiano yao,
Selfish S*ut
Alibi..!Sisi ndugu zake katibu tunajiuliza mengi
1: wakati katibu anakufa masanja alikuwa wapi au alisafiri kupunguza maneno?
2: mbona hili jambo kalichukulia poa?
Nb vipi huko kanisani kwa masanja leo j2?