Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa.
Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa.
Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani.
Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa raia tutakaoandamana.
Kwa umoja wetu Watanganyika twendeni X tuungane na wapenda mabadiliko kina dada Mange kumuomba Donald Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania atuondolee huyu Samuya na ccm yake.
Twendeni wanabodi.