Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hayo mengine yanazungumzika. Atutolee kwanza hawa Samia na genge lake la wauwaji.Trump havamii bila kuwa na incentive/maslai. Mpatie mineral deal, dakika tano tu anasafisha kila mtu 😃
Kwa huyu Samia tutampa ushirikiano Trump vikosi vyake in less than 30 minutes watakuwa wamekamata wote Samia, Abdul, Mchengerwa, Mombo, Wambura, Awadhi, Mafwele na Mkunda.😀😀😀😀
Rais Maduro tayari yuko mikononi mwa US
Tutampa ushirikiano wa hali na mali.Hahahah! Trump akitia timu huku dakika 40 nyingi mno mtu keshadakwa chap.
Natamani sana Manyonyo na genge lake waendelee kuteka, kulawiti, kupoteza na kufungulia mashataka watanzania wenye uraia wa Marekani.. Hii itafika kwa Trump haraka sana.Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa.
Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa.
Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani.
Tumechoka kugombanishwa kidding huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa raia tutakaoandamana.
Kwa umoja wetu Watanganyika twendeni X tuungane na wapenda mabadiliko kina dada Mange kumuomba Donald Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania atuondolee huyu Samuya na ccm yake.
Twendeni wanabodi.
Simkubali Samia na serikali yake, ila kwa hili sikuungi mkono.Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa.
Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa.
Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani.
Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa raia tutakaoandamana.
Kwa umoja wetu Watanganyika twendeni X tuungane na wapenda mabadiliko kina dada Mange kumuomba Donald Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania atuondolee huyu Samuya na ccm yake.
Twendeni wanabodi.
Usiunge mkono tutafanya sisiSimkunali Samia na serikali yake, ila kwa hili sikuungi mkono.
Mapema sanaHahahah! Trump akitia timu huku dakika 40 nyingi mno mtu keshadakwa chap.
Hakuna mwenye uwezo wa kupigana vita na Marekani.Manyonyo akishanyakuliwa apelekwe kusikojulikana kama maduro ..
Walinzi wa Maduro na jeshi lake wamemkatalia Maduro kuingia vitani na USA
Hatuna madini mengi kihivyo kama madelu anavyopiga propaganda zake lakini pia kampuni za Marekani bado hazina vikwazo sana katika kufaidi rasilimali za Tanzania. Wiki chache tu hapo Kombo alikuwa states akiwaambia wasiogope milango ya kufaidi cake iko wazi.Dingi anaangalia maslahi gani sijui
yule pm kiazi alisema mabeberu yananyatia raslimali zetu..
Maybe hatuna kitu cha kumshawishi Trump ndo maana katubwaga!
Ugomvi wa Marekani na Samia na ccm yake sio madini bali ni namna wanavyowanyanyasa wakristo hasa mapadre na wachungaji.Hatuna madini mengi kihivyo kama madelu anavyopiga propaganda zake lakini pia kampuni za Marekani bado hazina vikwazo sana katika kufaidi rasilimali za Tanzania. Wiki chache tu hapo Kombo alikuwa states akiwaambia wasiogope milango ya kufaidi cake iko wazi.
SawaUsiunge mkono tutafanya sisi
Ukombozi unapiganiwa na wachacheSawa
Ni swala la muda yatatimiaHayo mengine yanazungumzika. Atutolee kwanza hawa Samia na genge lake la wauwaji.