Twendeni X (Twitter) tuungane na Mange kumuomba Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania

Hakuna mwenye uwezo wa kupigana vita na Marekani.
Hii Dunia ipo chini ya America karibu kwa kila kitu. Huwa nawashangaa Sana baadhi ya wamiliki wa online chanel kila kukicha ni kuipondea Marekani kuwa si lolote walachochote dhidi ya China, Urus na Iran, sijui huwa wanatumia vigezo gani, na kuna wafuasi kibao wamewachota akili, wasichokijua ni kwamba hizo online Chanel zao zenyewe ziko monitored na Marekani. Nadhani Leo watakuwa wameumia Sana ila hawatakosi propaganda ya kuwafariji wafuasi wao maana Iran kwenyewe Hali sio shwari.
 
Tusijisumbue, marekani hawezi hangaika kama maslahi yake hayajaguswa
 
Ukijaribu kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii hususan kwenye kurasa mashuhuri kama ICC, The White House, UN, nk utakutana na comments nyingi mno za SOS ๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ช (Save Our Souls) ikifuatiwa na bendera ya venezuela. Wananchi wa Venezuela walitumia mitandao ya kijamii kupaza sauti kwa njia hiyo, na hatimaye kilio chao kimesikika. Hivyo watanzania kwa umoja wetu tunaweza kufanya hivyo pia, tukaanzisha kampeni ya SOS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Twendeni tukacomment kila mahala mpaka dunia nzima ifahamu ukandamizaji na uvunjifu mkubwa wa haki unaoendelea Tanzania, Dunia ijue tupate msaada. Kwa umoja wetu ninaamini tunaweza!
 
Mitandao ya kijamii ni nyenzo muhimu sana kwenye kudai haki na kupambana na madhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ