Twiga Stars ----vs---- Che - Polopolo ya Zambia

Dada updates ziko mwanzoni mwa threa...zambia wametufunga ila tumesonga mbele maana kwao tuliwafunga 4 -2

Nilikuwa nimeidaka mada juu kwa juu sikuona, asante sana, Hongera kwao Twiga stars.
 
pole sana ngoja nivikuze vikuchanganye zaidi


du...una manyoa miguuni...nimeukumbuka ule wimbo wa mwana fa mimi na mabinti damu damu...michirizi nyuma ya goti!!!ila hongera kwa kusonga maana hawa chepo hawakuwa haba!!
 
mbona sikioni kitufe cha like!!nilitaka ni-like mguu wa mtu wallah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…