Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

This one killed me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
5665d48e26a32ae7577764862415908a.jpg
lol! the guy can buy tz with his lappy
 
Huo ujinga nao wakushupalia!!
Wameshindwa kujitosheleza kwa Chakula wana ilaumu Tanzania huo ni upumbavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tumbo haishibishwi na twitter!...enyi mukenya kumbukeni hii...#bring-back-our-UNGA!
 
wakenya ni watu wa kuwaonea huruma.tofauti zao za kikabila zimepelekea kutokuwa na social network ya kikenya inayowaleta pamoja kama ilivyo jf kwa watanzania.

matokeo yake wameigeuza Twitter kuwa ni uwanja wao pekee wa kutoa stress zao kwa serikali na kushambulia maadui zao kwa kuwarushia maneno yasiyo na madhara yoyote ya kimwili.

hata vita dhidi ya alshabab,wakati alshabab inaua wakenya physically, wao walichagua njia ya kushambulia kwa maneno kupitia Twitter.pathetic.[emoji23] [emoji23]

hata tofauti zao za kikabila,mara nyingi hurushiana vijembe na vitisho kupitia Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
18dee978de1a2744ae05777dcbbb97b7.jpg
2f87e82ceeb2f51ef392285efbf25e93.jpg

ila jf ndio kiboko yao.ndio maana wengi wanaogopa kujiunga na jf.maana wanajua huku tunajadiliana kwa fact and evidence sio blabla au comedy kama Twitter.

hawa mnaowaona tunajidiliana nao hapa kwa ustaarabu, tulifanya kazi kubwa sana ya kuwabadilisha.wengi wao walikuwa kama vichaa vile[emoji23] [emoji23]
 
peleka wendawazimu kule jukwaa la tz...nyambafu
 
Yaani naona kama watoto walio kosa kazi ya kufanya!
 
Hahahahahahaha najua ukipitia [HASHTAG]#TZvsKE[/HASHTAG] ni machozi unatoa tu
Sindano imeingia pole
 
Back
Top Bottom