Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

They guy literally went to twitter and searched

"I hate Kikuyus" just to see the results alafu anatuita wakenya tribalists...smfh...check meaning ya tribalism kadoda11 u will be number 1 kwa hyo list na waTZ wengine....

Mko very tribal
buda nini shida?...nimejaribu tu kueleza ukweli kuhusu hali halisi ya wakenya na Twitter. sio kwa ubaya lakini.usipate jazba plz.[emoji23] [emoji23]
 
Muda pekee waKenya wanaungana ni wanapokua wanashirikiana kuionea wivu Tanzania, mbali na hilo ni ukabila mwanzo mwisho.

Huu umoja wenu uelekezeni uelekeo wa Al Shabab.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hahahaha!! JF is nothing on social platform. We only come here to sell our Country and get info on what is happening with our Neighbors. Nothing more.
you sound like you have already been affected by jf and can't go an hour or day without checking in.bravo.jf ni kiboko yenu. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
They guy literally went to twitter and searched

"I hate Kikuyus" just to see the results alafu anatuita wakenya tribalists...smfh...check meaning ya tribalism kadoda11 u will be number 1 kwa hyo list na waTZ wengine....

Mko very tribal

Kenyans are true to themselves and they don't pretend! But they are united more than you think!! The fighting is internal, but touch one of them, and that is when you realize how united they are!!
 
wakenya ni watu wa kuwaonea huruma.tofauti zao za kikabila zimepelekea kutokuwa na social network ya kikenya inayowaleta pamoja kama ilivyo jf kwa watanzania.

matokeo yake wameigeuza Twitter kuwa ni uwanja wao pekee wa kutoa stress zao kwa serikali na kushambulia maadui zao kwa kuwarushia maneno yasiyo na madhara yoyote ya kimwili.

hata vita dhidi ya alshabab,wakati alshabab inaua wakenya physically, wao walichagua njia ya kushambulia kwa maneno kupitia Twitter.pathetic.[emoji23] [emoji23]

hata tofauti zao za kikabila,mara nyingi hurushiana vijembe na vitisho kupitia Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
18dee978de1a2744ae05777dcbbb97b7.jpg
2f87e82ceeb2f51ef392285efbf25e93.jpg

ila jf ndio kiboko yao.ndio maana wengi wanaogopa kujiunga na jf.maana wanajua huku tunajadiliana kwa fact and evidence sio blabla au comedy kama Twitter.

hawa mnaowaona tunajidiliana nao hapa kwa ustaarabu, tulifanya kazi kubwa sana ya kuwabadilisha.wengi wao walikuwa kama vichaa vile[emoji23] [emoji23]
Facts na evidence zako ni nonsense,thoughts derived from hating kenya,ur reasoning is a bit wanting
 
you sound like you have already been affected by jf and can't go an hour or day without checking in.bravo.jf ni kiboko yenu. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Don't think I only check in on JF!! My twitter is on! 24 Hrs a day! Skyscrapercity, Nairaland, LinkedIn, Google Kenya Talk and You tube are own 24 Hrs! So JF is just but one of them. Kenyans are online people and always Curious people, don't be suprised
 
basi wewe ni jobless...sorry mtu mwenye njaa,ni utani tu.

BTW.hongera kwa kuwa online 24hrs.
binafsi sijawahi kuwa online 24hrs cos mda mwingi nautumia kuwa busy na masuala yanayohusiana na career yangu na mda wa jioni nautumia kufanya mazoezi ya viungo.
 
Hii vita ingeenda instagram... Sijui ingekuwaje.. maana waTanzania hawatumii kabisa Twitter.. wengi wana accounts ila zipo dormant.. ila Instagram kule hakugusiki..

Kenya mnatumia sana Twitter kama weapon yenu kwenye vita zenu za maneno za kikabila. Hayo mambo Tanzania hamna ndio maana mmechukua ushindi wa mezani.

Tz ukitumia Twitter kwenye breaking news nobody will know ndio maana hata hii Twitter war nimeijulia huku JF.

Hongereni kwa ushindi wa mezani.
 
ushindi wa mezani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hii vita ingeenda instagram... Sijui ingekuwaje.. maana waTanzania hawatumii kabisa Twitter.. wengi wana accounts ila zipo dormant.. ila Instagram kule hakugusiki..

Kenya mnatumia sana Twitter kama weapon yenu kwenye vita zenu za maneno za kikabila. Hayo mambo Tanzania hamna ndio maana mmechukua ushindi wa mezani.

Tz ukitumia Twitter kwenye breaking news nobody will know ndio maana hata hii Twitter war nimeijulia huku JF.

Hongereni kwa ushindi wa mezani.
Mtajuaje Twitter mkiwa washamba hivi
 
Ila kweli wangeenda insta sijui maana kule ni hatari.insta
 
Back
Top Bottom