buda nini shida?...nimejaribu tu kueleza ukweli kuhusu hali halisi ya wakenya na Twitter. sio kwa ubaya lakini.usipate jazba plz.[emoji23] [emoji23]They guy literally went to twitter and searched
"I hate Kikuyus" just to see the results alafu anatuita wakenya tribalists...smfh...check meaning ya tribalism kadoda11 u will be number 1 kwa hyo list na waTZ wengine....
Mko very tribal
upo kwenye mtandao unaomilikiwa na mtz kwa 100%....chunga mdomo wako hapa sio Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Muda pekee waKenya wanaungana ni wanapokua wanashirikiana kuionea wivu Tanzania, mbali na hilo ni ukabila mwanzo mwisho.
Huu umoja wenu uelekezeni uelekeo wa Al Shabab.
you sound like you have already been affected by jf and can't go an hour or day without checking in.bravo.jf ni kiboko yenu. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahahaha!! JF is nothing on social platform. We only come here to sell our Country and get info on what is happening with our Neighbors. Nothing more.
They guy literally went to twitter and searched
"I hate Kikuyus" just to see the results alafu anatuita wakenya tribalists...smfh...check meaning ya tribalism kadoda11 u will be number 1 kwa hyo list na waTZ wengine....
Mko very tribal
Facts na evidence zako ni nonsense,thoughts derived from hating kenya,ur reasoning is a bit wantingwakenya ni watu wa kuwaonea huruma.tofauti zao za kikabila zimepelekea kutokuwa na social network ya kikenya inayowaleta pamoja kama ilivyo jf kwa watanzania.
matokeo yake wameigeuza Twitter kuwa ni uwanja wao pekee wa kutoa stress zao kwa serikali na kushambulia maadui zao kwa kuwarushia maneno yasiyo na madhara yoyote ya kimwili.
hata vita dhidi ya alshabab,wakati alshabab inaua wakenya physically, wao walichagua njia ya kushambulia kwa maneno kupitia Twitter.pathetic.[emoji23] [emoji23]
hata tofauti zao za kikabila,mara nyingi hurushiana vijembe na vitisho kupitia Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila jf ndio kiboko yao.ndio maana wengi wanaogopa kujiunga na jf.maana wanajua huku tunajadiliana kwa fact and evidence sio blabla au comedy kama Twitter.
hawa mnaowaona tunajidiliana nao hapa kwa ustaarabu, tulifanya kazi kubwa sana ya kuwabadilisha.wengi wao walikuwa kama vichaa vile[emoji23] [emoji23]
Don't think I only check in on JF!! My twitter is on! 24 Hrs a day! Skyscrapercity, Nairaland, LinkedIn, Google Kenya Talk and You tube are own 24 Hrs! So JF is just but one of them. Kenyans are online people and always Curious people, don't be suprisedyou sound like you have already been affected by jf and can't go an hour or day without checking in.bravo.jf ni kiboko yenu. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Very skewed thinking, this guys have a funny way of understanding things.Facts na evidence zako ni nonsense,thoughts derived from hating kenya,ur reasoning is a bit wanting
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakenya sijui kwa nn hawakuzaliwa bukoba?yani wanakaushamba flan.
basi wewe ni jobless...sorry mtu mwenye njaa,ni utani tu.Don't think I only check in on JF!! My twitter is on! 24 Hrs a day! Skyscrapercity, Nairaland, LinkedIn, Google Kenya Talk and You tube are own 24 Hrs! So JF is just but one of them. Kenyans are online people and always Curious people, don't be suprised
povu la nini??...kuwa mpole.[emoji23] [emoji23]Facts na evidence zako ni nonsense,thoughts derived from hating kenya,ur reasoning is a bit wanting
Facts na evidence zako ni nonsense,thoughts derived from hating kenya,ur reasoning is a bit wanting
naona sindano imewaingia vizuri.Very skewed thinking, this guys have a funny way of understanding things.
ushindi wa mezani.Hii vita ingeenda instagram... Sijui ingekuwaje.. maana waTanzania hawatumii kabisa Twitter.. wengi wana accounts ila zipo dormant.. ila Instagram kule hakugusiki..
Kenya mnatumia sana Twitter kama weapon yenu kwenye vita zenu za maneno za kikabila. Hayo mambo Tanzania hamna ndio maana mmechukua ushindi wa mezani.
Tz ukitumia Twitter kwenye breaking news nobody will know ndio maana hata hii Twitter war nimeijulia huku JF.
Hongereni kwa ushindi wa mezani.
Mtajuaje Twitter mkiwa washamba hiviHii vita ingeenda instagram... Sijui ingekuwaje.. maana waTanzania hawatumii kabisa Twitter.. wengi wana accounts ila zipo dormant.. ila Instagram kule hakugusiki..
Kenya mnatumia sana Twitter kama weapon yenu kwenye vita zenu za maneno za kikabila. Hayo mambo Tanzania hamna ndio maana mmechukua ushindi wa mezani.
Tz ukitumia Twitter kwenye breaking news nobody will know ndio maana hata hii Twitter war nimeijulia huku JF.
Hongereni kwa ushindi wa mezani.
So much for crackwise english language pretendersVery skewed thinking, this guys have a funny way of understanding things.
Kwahiyo nyinyi ujanja wenu ni nini? Kuwa na akaunti twita?Mtajuaje Twitter mkiwa washamba hivi
Ila kweli wangeenda insta sijui maana kule ni hatari.instaHii vita ingeenda instagram... Sijui ingekuwaje.. maana waTanzania hawatumii kabisa Twitter.. wengi wana accounts ila zipo dormant.. ila Instagram kule hakugusiki..
Kenya mnatumia sana Twitter kama weapon yenu kwenye vita zenu za maneno za kikabila. Hayo mambo Tanzania hamna ndio maana mmechukua ushindi wa mezani.
Tz ukitumia Twitter kwenye breaking news nobody will know ndio maana hata hii Twitter war nimeijulia huku JF.
Hongereni kwa ushindi wa mezani.
Ndio vile lugha za kuuzi zimezuiliwa hapa Jf vinginevyo alikuwa anastahili kabisa kuitwa punguwani.Kwahiyo nyinyi ujanja wenu ni nini? Kuwa na akaunti twita?