Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Mtajuaje Twitter mkiwa washamba hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usijifanye humfahamu bwana, hebu mpe heshima yake,
Ni celebrity mkubwa Africa,

Nimeona mnakomaa na tweets za Salama jabir na Idris eti.
Bure kabisa

hao watu ni ma-celebrity wakubwa ktk ukanda huu wa EA na hata twitter handle zao zimewekewa badge.

kuendelea kuwa-tag au ku-retweet tweet zao ni kuwaongezea mailage.

vijana wengi majobless wa kikenya waliopo kule twitter hawalijui hilo.acha wazidi kuwaongezea followers.
 
Kenyans are true to themselves and they don't pretend! But they are united more than you think!! The fighting is internal, but touch one of them, and that is when you realize how united they are!!
Unaongea nini wewe,
Nlikuwa na Wakenya mji Fulani wa magharibi, ilikuwa ni Kama mmekorofishana mlikotoka, yaani mnachukiana nyie kwa nyie hata mkiwa ugenini..
Nyie ni viumbe vya ajabu sana, sometimes I wonder how u Manage to exist as a country!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wacha kujifariji. kila pahali mKenya yuko.
 
Sasa kama watanzania hawajui English bado mnawatania in English! Nobody gets it. Joke's on u.
 
Sasa kama watanzania hawajui English bado mnawatania in English! Nobody gets it. Joke's on u.
wamejipata pabaya hapa aisee. watz watakula kichapo cha mbwa kuingia mskitini
 
Nimeshangaa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muda pekee waKenya wanaungana ni wanapokua wanashirikiana kuionea wivu Tanzania, mbali na hilo ni ukabila mwanzo mwisho.

Huu umoja wenu uelekezeni uelekeo wa Al Shabab.
Nyerere alisema Wakenya wakiwa nje ya muungano wa EA wao ni ukabila tu ndiyo wanawaza. Lakini wakiwa ndani ya muungano kidogo wanakuwa wamoja na wanashindana na nchi nyingine. Tofauti na hapo hawa jamaa ni ukabila kwenda mbele.

Binafsi naona Wakenya wanaionea wivu sana Tz.

Watz wala hawana tatizo.....taratibu tunasonga mbele. Waache wapige majungu na kujifanya wajuvi wa Kiingereza [emoji23] [emoji23]
 
Ila acha aseme ukweli eeeeeeeh

Huyo Idris amezidi udaku na wamempata leo...nimezisoma tuwape tano wakenya kwa kurudisha kandanda bombaaaaa

Hongera kwao

Mwenye hasira ajizabe vibao, ndio kutakiwa kuamka kutokana na haya.
 
Today nmejua Tanzanians are very useless.....They could not even reply in the battle . Ugandans were way better
 
We kiswahili inakusaidia aje... Ukijibu swali langu utakuwa umejibu yako pia
The good thing is,wakenya wengi hawawezi kuongea kiswahili fasaha,na watanzania wengi hawawezi kuongea kingereza kwa ufasaha,kwa hilo to me I don't see any problem on that,umuhimu wa lugha Ni mawasiliano,mawasiliano yanatimia pale kunapokuwepo na feedback basically, akina xhristiano ronaldo and the likes wamekaa uingereza kwa waingereza wenyewe for years stil they ain't good kuongea,kila wanatokea wakikuyu wa wapi huko sijui wanajiona wanajuua its as if the language originated from,Mandela fala sana nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…