Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

The way Tanzanians don't know English leaves me thinking whether they colonised themselves.

hahahhahahahahahaha lmfao
Vipi lakini umekula kweli? Isije kuwa njaa kama aliyo isema idris
 
Si unajua wakenya tuko busy tukijadili mada pale Twitter na WaTZ wako busy wakiupload picha za matako kwenye Instagram. Wakati wenu hatuna. Mtatutambua nyie! Usifikiri Twitter ni JF mahali pana wakenya kama kumi. Mahenga walinena, Usipofunzwa na mamako, utafunzwa na ulimwengu
Punguza povu.
 
Hakuna kitu unaweza kutuambia
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
wakenya ni watu wa kuwaonea huruma.tofauti zao za kikabila zimepelekea kutokuwa na social network ya kikenya inayowaleta pamoja kama ilivyo jf kwa watanzania.

matokeo yake wameigeuza Twitter kuwa ni uwanja wao pekee wa kutoa stress zao kwa serikali na kushambulia maadui zao kwa kuwarushia maneno yasiyo na madhara yoyote ya kimwili.

hata vita dhidi ya alshabab,wakati alshabab inaua wakenya physically, wao walichagua njia ya kushambulia kwa maneno kupitia Twitter.pathetic.[emoji23] [emoji23]

hata tofauti zao za kikabila,mara nyingi hurushiana vijembe na vitisho kupitia Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
18dee978de1a2744ae05777dcbbb97b7.jpg
2f87e82ceeb2f51ef392285efbf25e93.jpg

ila jf ndio kiboko yao.ndio maana wengi wanaogopa kujiunga na jf.maana wanajua huku tunajadiliana kwa fact and evidence sio blabla au comedy kama Twitter.

hawa mnaowaona tunajidiliana nao hapa kwa ustaarabu, tulifanya kazi kubwa sana ya kuwabadilisha.wengi wao walikuwa kama vichaa vile[emoji23] [emoji23]
 
Hapo Kenya hakuna social platform unayoweza kuilinganisha na JF wewe! Kaa utulie

Endeleeni tu kupoteza muda Twitter!

Mnachofanya huko twitter ndo kinafanyika hapa JF kwenye Jokes/Utani/gossip au chit chat

hahahaha! Usinifurahishe!!! We can use any social media, but we have no time to develop such useless forums!!

I can develop something like JF in a month my friend!!

But we develop more serious platforms for the world!!! Government of USA, UK, CANADA and many more use "Ushahidi" from Kenya. Because it is useful, can they use JF???

Is not that we can't develop them, they are not our priority!!
 
How can you fight with someone who has no time for you!?yani ninyi wakenya to show that mnachuki na watanzania mtanzania mmoja akiwatukana,the whole nation mnasimama,huko twitter everyone has the right to write what (s)he feels,and that should not be interpreted as the national say!!sisi tunawaangaliga tu,you can call us names,use are all vulgar words against,interprete all poor pictures as you wish,we are moving forward. we declare we don't know English, and that has nothing to do with our moving forward,the poor English we know has made us take you over in about everything you guys had archived for more than ten times as we had..we are proud of our Swahili,because as we develop Swahili too develops,our plan is make Swahili if not the first at least the second most spoken language in this world,we will never abandon what is ours and Embless the foreigns...by the way why does this things of kabila na ukabila eat you up Kenyans!?what went wrong with you!?ugomvi wenu huwa Ni wa makabila au ukabila always,and you know what you will never see any brave Tanzania in such styled fights,that is your fight with one individual and not Tanzanian deal with him,we have no time for stuped fights with Kenyans.we have nothing common.
Iyo story yote ya nini sasa...kama Hamna time mko busy kwa nini uchumi yenu bado chini
 
hahahaha! Usinifurahishe!!! We can use any social media, but we have no time to develop such useless forums!!

I can develop something like JF in a month my friend!!

But we develop more serious platforms for the world!!! Government of USA, UK, CANADA and many more use "Ushahidi" from Kenya. Because it is useful, can they use JF???

Is not that we can't develop them, they are not our priority!!
Hawa wapumbavu wanatumia MPESA. Waulize ni teknolojia ipi wametengeneza inayotumika nje ya nchi lao duni
 
Nimekwambia uongee tu nami mkiacha kuwala binadamu wenzio.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
3a67bedef61622ba40490a9228d32af9.jpg
0adcfd1ee95b17c860a7bb7e9d97f69e.jpg
 
The way Tanzanians don't know English leaves me thinking whether they colonised themselves.

hahahhahahahahahaha lmfao
That was your post about colonization [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] and here follows the replies

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
No we colonize you and you can't do anything about it.

Sasa nani colonized. Sisi ndio tunaongoza ama kumilika makampuni kubwa kubwa humo nchini mwenu.

We colonize you dummies

Stay focused dude! Kenya's investments in Tanzania is mainly a result of EAC. Should the EAC collapse, your investments will be at stake.
 
wakenya ni watu wa kuwaonea huruma.tofauti zao za kikabila zimepelekea kutokuwa na social network ya kikenya inayowaleta pamoja kama ilivyo jf kwa watanzania.

matokeo yake wameigeuza Twitter kuwa ni uwanja wao pekee wa kutoa stress zao kwa serikali na kushambulia maadui zao kwa kuwarushia maneno yasiyo na madhara yoyote ya kimwili.

hata vita dhidi ya alshabab,wakati alshabab inaua wakenya physically, wao walichagua njia ya kushambulia kwa maneno kupitia Twitter.pathetic.[emoji23] [emoji23]

hata tofauti zao za kikabila,mara nyingi hurushiana vijembe na vitisho kupitia Twitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
18dee978de1a2744ae05777dcbbb97b7.jpg
2f87e82ceeb2f51ef392285efbf25e93.jpg

ila jf ndio kiboko yao.ndio maana wengi wanaogopa kujiunga na jf.maana wanajua huku tunajadiliana kwa fact and evidence sio blabla au comedy kama Twitter.

hawa mnaowaona tunajidiliana nao hapa kwa ustaarabu, tulifanya kazi kubwa sana ya kuwabadilisha.wengi wao walikuwa kama vichaa vile[emoji23] [emoji23]
Hahahaha huyo jamaa mkenya anaandika bila wasiwasi eti "I'not tribalism but I hate kikuyu". [emoji3][emoji3]
 
That was your post about colonization [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] and here follows the replies

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Stay focused dude! Kenya's investments in Tanzania is mainly a result of EAC. Should the EAC collapse, your investments will be at stake.
Hamna shida. Sisi ndio economy nambari moja hapa EA. Bado tunawashughulikia Uganda, Rwanda etc. Sio mambo ya rais mzima karibu kupiga magoti ndio apewe deal ya bomba la mafuta akilia Uganda wakumbuke Tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahaha! Usinifurahishe!!! We can use any social media, but we have no time to develop such useless forums!!

I can develop something like JF in a month my friend!!

But we develop more serious platforms for the world!!! Government of USA, UK, CANADA and many more use "Ushahidi" from Kenya. Because it is useful, can they use JF???

Is not that we can't develop them, they are not our priority!!

He he heeeee, unachekesha sana! Eti we have no time to develop such useless forums, Yet you waste much of your time uttering nonsense on Twitter!

Hamna shida. Sisi ndio economy nambari moja hapa EA. Bado tunawashughulikia Uganda, Rwanda etc. Sio mambo ya rais mzima karibu kupiga magoti ndio apewe deal ya bomba la mafuta akilia Uganda wakumbuke Tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bomba la mafuta kutoka Uganda vipi?
 
Back
Top Bottom